Pep Guardiola amekamilisha talaka kwa kupoteza Jumba na Nusu ya utajiri wake, mtalaka adai Pep alikuwa bize na mpira

Nadhani tumuombee sana huyu Mwamba anapitia magumu sana
 
Ila ulaya ni janga baya kwa kutalakiana

Sasa apatie pesa kwa football halafu akomeshweeee

Bora hata ingekuwa kwamba kachepuka sanaaa


Wanawake wengine ni wa nyama haswaaaa
 
Could this be the reason for underperformance of his team?
 
Kwa nini niteseke kataa ndoa ni habari ya Mjini
 
Umeandika usichokijua. Jiongoze bibie
 
Nimewaza kama wewe
Wanaume tunaenda kupotezwa
Tunapigwa kijamii na kisheria!

Ipo siku wanawake wataona hatari ya kutupoteza na wataanza wenyewe kutupigania na movement zitaanza!

Watashika uongozi,Mali na kila kitu lakini havitokuwa na ladha bila uwepo wa Mwanamme kama kiongozi katika jamii!!

Kwa umri wa pep Hilo ni pigo la kisaikolojia ambalo linampeleka kaburini pole pole labda apate faraja Toka Kwa changudoa aside na future yeyote Ile just awe nae kumfariji na kufurahia kile anachokula kunywa!!

Matajiri wa man city wafanye jambo walau wampatie jumba la kifahari jingine na Mali nyingine kama zawadi ya kuinua klabu ya mancity Kwa kipindi chale alichotumikia!!
 
Hakuna kitu kama hiko na sidhani kama kipo mke ukishamuoa anakuwa sehemu ya mali zako. Coz nae nahesabika ana mchango hata kama hana kazi yeyote.
 
Shida sio kupoteza mali Ila familia yake ndio kisa cha kulia,sasa hivi kuishi tu Kama unaakili na si kuoa,kuna mitikisiko mikubwa mno ktk familia hali ni mbaya mno
 
Hatari sana hii
 
Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema.
Kuna jambo kuwa la kujifunza hapa na hasa sisi weusi
 
Nilikwisha sema na nitaendelea kusema, wanawake japo ni mama,dada,shangazi na ni watoto wetu lakini ni chanzo za matatizo mengi hapa duniani. Wana ushetani ndani yao..ndio maana nimeanza kuwaelewa waPakstani kwa sera zao kuhusu wanawake.
Hata mimi nimewaelewa ndio maana wanaume tunakufa mapema
 
Nilikwisha sema na nitaendelea kusema, wanawake japo ni mama,dada,shangazi na ni watoto wetu lakini ni chanzo za matatizo mengi hapa duniani. Wana ushetani ndani yao..ndio maana nimeanza kuwaelewa waPakstani kwa sera zao kuhusu wanawake.
Mie niliwambia wanawake ni kwenda nao taliban style...sombeka huko jimoni yaishe. Hamna kumpa mwanamke elimu wacha kazi yake ibakie kugegedwa na kupika
 
Mali zimeenda kwa familia hakuna shida hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…