Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Labyrinth 84

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
858
Reaction score
2,497
Kam ilivyo kawaida kwa mpira wa miguu haunogi bila kuwa na ubishani wa mashabiki, ndicho kinachoenda kutokea endapo Josep Guardiola atafanikiwa kuchukua uefa champion league jumamosi hii.

IMG_7548.jpeg

WHO IS THE GREATEST MANAGER OF ALL TIME? Hapo mwanzo nafasi hii hata mimi nilikua nampa Sir Alex Ferguson, amefanya makubwa na ni best lakini Guardiola anaenda kukaa nafasi ya kwanza kwa sasa endapo atachukua uefa mwaka huu!

Kwanini Pep na si Ferguson, Pep ametuachia legacy still katika age ndogo tu. Mikel Arteta, Eric Ten Hag, Xavi na Vicent Kompany hawa wote ni disciples wa Pep na wanafanya vizuri lakini disciples wa Ferguson siwaoni?

Pep alifanya barca kuwa the first team to win treble kwa upande wa spanish league na pia soka la akili na very tactical hizi ni baadhi za sifa zinazomfanya pep akae namba moja kwenye swali hili.

Japo in terms of trophies amezidiwa na Ferguson.
 
Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one

Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa

Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all

Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question

Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy

Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa

Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa

To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing

Pep is second
 
Kwann zidane hasemwi Sana
 
Anaemtaja Ferguson ni shabiki wa Manchester United na ambao wengi wapinzani wa Barca, ukweli usemwe Guardiola is football, Johan Cryfu is top, Vicente Delbosque, Anceloti akiwa AC Milan, Arsene Wenger, Luciano Spallet wa AS Roma
 
Pep namuona akisumbua sana soka la ulaya
Na hii style yake mpaka kipa anacheza mpira sio butua butua tu nadhani imeanzia kwake na wengi naona wakiiga
Pep bila hela hamfikii ubora hata Kocha Mgunda, hutembelea klabu ambazo tayari zilishafanya vizuri na Mabosi wake humwaga mahela tele kama Waarabu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Timu mpaka kumwagia pesa ina maana alisha onesha uwezo wake
Alipokuwa barca uwezo wake ulionekana na alikuwa na kikosi sio cha pesa mingi
 
Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one

Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa

Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all

Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question

Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy

Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa

Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa

To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing

Pep is second
Fergusson alipigwa na Guardialo hadi akatetemeka. Ferguson kafanikiwa klabu moja tu. Gurdialo kamuacha mbali sana Ferguson.
 
Pep bila hela hamfikii ubora hata Kocha Mgunda, hutembelea klabu ambazo tayari zilishafanya vizuri na Mabosi wake humwaga mahela tele kama Waarabu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Hela zipi timu gani isiyotoa hela? Maguire, sancho anthony pogba wamenunuliwa kwa pesa ndefu lakini hatujaona walichofanya cha maana man utd
 
Kwann zidane hasemwi Sana

Zidane hakuna cha maana alichofanya sana , madrid ilikuwa ipo peak!!!! Ni lucky tu , angalia anachofanya pep anatengeneza kikosi chake nakumbuka alivyotoa man city kipa hart alikuwa mzuriii tu lakini alipigwa chini kutokana na falsafa ya pep!! Zidane hana falsafa yoyote
 
Ferguson kafanikiwa klabu moja tu. Gurdialo kamuacha mbali sana Ferguson.
Unaweza kuzungumza maneno hayo kwenye mitaa ya aberdeen.
Chini ya utawala wa RANGERS na CELTIC nchini Scotland, alex ferguson alifanya hiki akiwa mkufunzi wa ABERDEEN.

Ferguson then enjoyed a highly successful period as manager of Aberdeen,

winning three Scottish league championships,

four Scottish Cups and the UEFA Cup Winners' Cup in 1983.
Anawatandika real madrid

He briefly managed Scotland following the death of Jock Stein, taking the team to the 1986 World Cup.

Chanzo: google
 
Back
Top Bottom