Mahaba yamekujaza upumbavu kichwani badala ya akili njema.
Kiparangoto aliikuta Barcelona FC ikiwa imetoka kubeba makombe ya UEFA CL, la Liga na Copa Del Rey chini ya Ronaldinho, E'too, Xavi, Iniester, Puyol na Wachezaji wengine mahiri kimpira.
Akatoka pale na kwenda Bayern Munich ikiwa imebeba UEFA CL, Bundles Liga n.k na ilikuwa ya moto kupita maelezo.
2016 akaja Man City kaikuta imetoka kubeba makombe ya EPL, na kutinga semi finals za UEFA CL ikiwa na akina Kuna Aguero na V Kampani tena ilikuwa bora sana.
Sasa timu ipi Kiparangoto alianza nayo kimafanikio ikiwa ina Wachezaji wa kawaida na kubeba nayo makombe kama ilivyokuwa kwa Mourinho akiwa na FC Porto, Klopp akiwa na Liverpool, Conte kaiwa na Intermilan?
Usisahau wapo akina Zizou walibeba UEFA CL mara 3 mfululizo, La liga ila bado huonekana ni Makocha wa kawaida tu.
Pep bila pesa na Wachezaji bora hata Zahera anamzidi ubora wa ukocha.
Sent from my CPH2387 using
JamiiForums mobile app