Kam ilivyo kawaida kwa mpira wa miguu haunogi bila kuwa na ubishani wa mashabiki, ndicho kinachoenda kutokea endapo Josep Guardiola atafanikiwa kuchukua uefa champion league jumamosi hii.
View attachment 2650429
WHO IS THE GREATEST MANAGER OF ALL TIME? Hapo mwanzo nafasi hii hata mimi nilikua nampa Sir Alex Ferguson, amefanya makubwa na ni best lakini Guardiola anaenda kukaa nafasi ya kwanza kwa sasa endapo atachukua uefa mwaka huu!
Kwanini Pep na si Ferguson, Pep ametuachia legacy still katika age ndogo tu. Mikel Arteta, Eric Ten Hag, Xavi na Vicent Kompany hawa wote ni disciples wa Pep na wanafanya vizuri lakini disciples wa Ferguson siwaoni?
Pep alifanya barca kuwa the first team to win treble kwa upande wa spanish league na pia soka la akili na very tactical hizi ni baadhi za sifa zinazomfanya pep akae namba moja kwenye swali hili.
Japo in terms of trophies amezidiwa na Ferguson.