Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Alitokea B Dortmund ila si tayari alikuwa kwenye pick ndiyomaana alisajiliwa, weka hapa rekodi za Gundogan akiwa B Dortmund kabla hajasaini Mwa-City 2016 ili ujione jinsi ulivyo Kilaza [emoji847]

Mistake of fact isikupumbaze akili kujiona umeshinda hoja [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23] gundo ametoka Dortmund akiwa anasumbiwa na majeraha , kwani timu gani ambayo inasajili mchezaji ambae sio peak nitajie hapa! Mbili tu
Timu gani ilikua inamtaka gundo kipindi kile?
Anthony , Maguire, pogba, sancho, lautaro, wan bissaka, hawa wote hawajatumia hela au wamesajiliwa wakiwa hawapo peak?
Mane, salah , virgil , fabinho hawa wote hawakuwa peak eti?
Pep amekuja kakuta wachezaji wako peak lakini kawauza kisa hawaendani na falsfa yake kuna kipindi mpaka aguero alikuwa anakula benchi wewe unaongea nini sijuiii?
 
Kam ilivyo kawaida kwa mpira wa miguu haunogi bila kuwa na ubishani wa mashabiki, ndicho kinachoenda kutokea endapo Josep Guardiola atafanikiwa kuchukua uefa champion league jumamosi hii.

View attachment 2650429

WHO IS THE GREATEST MANAGER OF ALL TIME? Hapo mwanzo nafasi hii hata mimi nilikua nampa Sir Alex Ferguson, amefanya makubwa na ni best lakini Guardiola anaenda kukaa nafasi ya kwanza kwa sasa endapo atachukua uefa mwaka huu!

Kwanini Pep na si Ferguson, Pep ametuachia legacy still katika age ndogo tu. Mikel Arteta, Eric Ten Hag, Xavi na Vicent Kompany hawa wote ni disciples wa Pep na wanafanya vizuri lakini disciples wa Ferguson siwaoni?

Pep alifanya barca kuwa the first team to win treble kwa upande wa spanish league na pia soka la akili na very tactical hizi ni baadhi za sifa zinazomfanya pep akae namba moja kwenye swali hili.

Japo in terms of trophies amezidiwa na Ferguson.
Anaweza asibebe mbele ya inter. Uefa haijaisha mpaka iishe babu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] gundo ametoka Dortmund akiwa anasumbiwa na majeraha , kwani timu gani ambayo inasajili mchezaji ambae sio peak nitajie hapa! Mbili tu
Timu gani ilikua inamtaka gundo kipindi kile?
Anthony , Maguire, pogba, sancho, lautaro, wan bissaka, hawa wote hawajatumia hela au wamesajiliwa wakiwa hawapo peak?
Mane, salah , virgil , fabinho hawa wote hawakuwa peak eti?
Pep amekuja kakuta wachezaji wako peak lakini kawauza kisa hawaendani na falsfa yake kuna kipindi mpaka aguero alikuwa anakula benchi wewe unaongea nini sijuiii?
Shida yenu Washabiki wa Pep ni 1, mnaamini kila anayemchalenji Kiparangoto ni Mwantesa Utd kumbe sivyo kabisa [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kaa na wataalam chunguza wataalam pigana kuwa zaidi ya wataalam.
Ricardo la volpe "LA volpiana o LA volpismo" na Johanna Cruyff wametuachia mwalimu bora wa soka.
FB_IMG_16854417494909233.jpg
 
Pep bila hela hamfikii ubora hata Kocha Mgunda, hutembelea klabu ambazo tayari zilishafanya vizuri na Mabosi wake humwaga mahela tele kama Waarabu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mkuu hivi unadhani kile kikosi cha man u kilichochukua treble kama ingekuwa na current market unadhan ni mchezaji gani angeuzwa chini ya pound 100mil.
 
Ni kweli au nguvu ya ukwasi ndo inatufumba macho?

Ebu muangalie kuanzia mbali kidogo, kuna sehemu unaweza hisi pengine na bahati inambeba tu!

Ukimpa PSG huyu unadhani mtataka?

No wonder, Messi bila Barca ni bure kabisa!
Ukwasi hauchezi mpira myfriend!.

Guardiola ameleta mapinduzi ya football kwenye pitch, kama ni suala la ukwasi, siku hizi timu nyingi zina pesa, lakini mbona zote hizo zinashindwa kucheza mpira wenye mafanikio kama wa Guardiola?

Ameshinda EPL tano ndani ya miaka sita aliyokuwepo Uingereza, huyu mtu ni superhuman!.

Nionavyo, akienda PSG ndio ataifanya ile ligi ya France iwe one sided ever, kama ameweza kuituliza EPL pamoja na uwepo wa wajuaji wengi, kwa ligi ya Ufaransa ndio hata usiulize!.
 
Center Back wa Man City pekee wako watano wote, Je watakosa vipi kucheza vizuri ilihali wapo wengi namna hiyo?

Pesa, pesa, pesa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Center Back wa Man City pekee wako watano wote, Je watakosa vipi kucheza vizuri ilihali wapo wengi namna hiyo?

Pesa, pesa, pesa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hivi pale England ni timu gani inaongoze kwa kusajili wachezaji kwa bei kubwa kama sio Manchester United ila wanamafanikio gani kuliko city toka pep aje
 
Kama kumwaga pesa nyingi za usajili ndio kuchukua ubingwa, Chelsea ya Toddy £600M madirisha mawili ya usajili ingebeba makombe yote.
Vipi Chelsea ya 2021 ilimwaga pesa kiasi gani kuliko Mwa-City ilihali ilimpiga Mwa-City kwenye nusu fainali za FA na fainali za UEFA CL? [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi pale England ni timu gani inaongoze kwa kusajili wachezaji kwa bei kubwa kama sio Manchester United ila wanamafanikio gani kuliko city toka pep aje
Weka vivid evidence hapa tangu Pep Kiparangoto aichukue Mwa-City 2016 na Man Utd tujue timu ipi imetumia pesa nyingi kuliko nyingine.

Kwanini Mwa-City ndiyo watuhumiwe na FIFA na FA kutumia pesa nyingi kuliko inavyotakiwa?

Mpaka sasa Mwa-City ina tuhuma za makosa 101 yanachunguzwa na FA, bado tu unaendelea kukaza fuvu? [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Eddie Howe kwangu ni Bora kuliko pep!!!!

Pep wa kawaida sana !sema kajificha kwenye team zenye fedha na uwezo wa kumchukua mchezaji yeyote anaemtaka!!

Pale Barca pale KWA kizazi kile cha kina hernandez,iniesta na messi nani asingetwaa mataji!!?

Hapo Bayern munich NDIO klabu tajiri kuliko vyote lakini alishindwa kuchukua uefa coz hakua na kina Messi wala iniesta!

Hapo man city ni team inayochukua mchezaji yeyote inayomtaka KWA hio sishangai kama akichukua uefa kwanza amechelewa sana kuchukua alipaswa kuchukua ZAMANI sana!!!

Kocha bora pale epl nadhani ni jurgen klopp KWA maana ya vyote yaani kutengeneza vipaji,team na bajeti ya kuuza na kununua!hiyo kwangu NDIO kocha !

Bora Arteta KWA msimu uliopita kuliko hata huyo pep KWA maana ya coaching na ku develop wachezaji wa kawaida kama kina saka,odergaard,n.k kuliko pep mwenye haaland,gundogan wachezaji ambao ni proven!
 
Eddie Howe kwangu ni Bora kuliko pep!!!!

Pep wa kawaida sana !sema kajificha kwenye team zenye fedha na uwezo wa kumchukua mchezaji yeyote anaemtaka!!

Pale Barca pale KWA kizazi kile cha kina hernandez,iniesta na messi nani asingetwaa mataji!!?

Hapo Bayern munich NDIO klabu tajiri kuliko vyote lakini alishindwa kuchukua uefa coz hakua na kina Messi wala iniesta!

Hapo man city ni team inayochukua mchezaji yeyote inayomtaka KWA hio sishangai kama akichukua uefa kwanza amechelewa sana kuchukua alipaswa kuchukua ZAMANI sana!!!

Kocha bora pale epl nadhani ni jurgen klopp KWA maana ya vyote yaani kutengeneza vipaji,team na bajeti ya kuuza na kununua!hiyo kwangu NDIO kocha !

Bora Arteta KWA msomi uliopita kuliko hata huyo pep KWA maana ya coaching na ku develop wachezaji wa kawaida kama kina saka,odergaard,n.k kuliko pep mwenye haaland,gundogan wachezaji ambao ni proven!
Kwani alipoondoka makocha wangapi walio fail Barcelona hadi akaja LUIS ENRIQUE
 
Khe mwanangu akili hauna sasa Guadiora na klop Nani boya mtu unanunua nunez kw £100

Mtu anachukua halland kwa £60

Yupi kocha yupi mbabaishaji?
 
Weka vivid evidence hapa tangu Pep Kiparangoto aichukue Mwa-City 2016 na Man Utd tujue timu ipi imetumia pesa nyingi kuliko nyingine.

Kwanini Mwa-City ndiyo watuhumiwe na FIFA na FA kutumia pesa nyingi kuliko inavyotakiwa?

Mpaka sasa Mwa-City ina tuhuma za makosa 101 yanachunguzwa na FA, bado tu unaendelea kukaza fuvu? [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hii ni total spend haya kati ya hizo team ipi yenye mafanikio makubwa kwa miaka hio?
Screenshot_20230609_151239_Chrome.jpg
 
Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one

Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa

Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all

Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question

Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy

Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa

Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa

To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing

Pep is second
Halafu alitumia wachezaji wa kawaida sana.
 
Back
Top Bottom