Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kafloat!?KDB out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafloat!?KDB out
Unamaanisha kuwa KDB ndio alikuwa mchezaji pekee? Timu ilikuwaje yenye mchezaji mmoja?
Sio tu pale City, anzia Barca, Bayern kisha City, nisaidie majina ya makocha waliomuachia timu, amezikuta timu kwenye hali gani na wachezaji gani aliwarithi na akakaa nao kwa muda gani!
Kutoka Barca kwenda Bayern, alipumzika muda gani, kwanini? Kutoka Bayern kwenda City, amepumzika muda gani?
Kesho ntacheck mkuuPep hakumkuta ronaldinho pale Barca, ronaldinho akiondoka mwaka huo ambao pep ndio alianza na Barca. Uwe mfatiliaji
Etoo amekaa na pep msimu mmoja tu, akaachana nae. Wengi walibeza pep kumuacha etoo, lakini alikua anajua nini anafanya.
Barca kabla ya pep ilikua na utawala wa Ronaldinho, Etoo na Deco. Lakini pep alivyofika alitengeneza wake Xavi, iniesta na Messi.
Pep pale Barca alipenda kutumia zaidi youngsters wa la masia, ndio maana unaona hata kwenye beki wa Kati alimtumia pique na kuachana na Marquez, kwenye kiungo wa chini alimuinua busquets na kuchana na Yaya toure
Pembeni alimuinua pedro
Mwambie huyo boya kuwaKatika misimu minne ilibidi asisajili kabisa? Alafu zlatan, Sanchez na fabregas hawakuleta impact, project ya kuwatumia ilifeli. Ndio uone tatizo sio kusajili wazuri bali kuwaingiza kwenye mfumo
Kaka naomba unisome kwa umakini nilichokiandika😂Chuki binafsi tu Kwa Zizou Mzee Baba, UEFA CL 3 straight winning si bahati kabisa [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hakupewa akanunua nunez?Hakuna cha Superhuman wala nini.
Hata Kloop angepewa pesa kama hizo anazopewa Pep angeshinda makombe mengi kuliko hata haya aliyoshinda Pep.
Amerithi team je karithi mchezaji?Na sio hilo tu, quality ya mpira imeshuka sana ukifananisha na miaka mingi nyuma!
WC zote kuanzia 2014 zimethibitisha hilo, sasa hiyo ndio advantage anayotembelea Pep kwa kukaa sehemu muda mrefu, pesa na kurithi timu iliyojengeka tayari
NdiyoKwani ukichangia bila kutukana hutoeleweka?