Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Ushindani mdogo upi

Uliishuhidia leeds united kwenye ubora wake?
Umeisahau liverpool?

Newcastle?

Sam allardise?

Epl ni intensity league hakuna mechi rahisi
Ferguson kwangu sio kocha bora.

- Wakati wake ushindani ulikuwa mdogo, alikuwa anapata challenge kutoka kwa Arsenal ya Wenger pekee.

- Alikuwa na uwezo mkubwa wa kiuchumi, Man Utd ilikuwa na uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mzuri inayomuona toka timu pinzani, kama Berbatov toka Spurz, na Rooney toka Everton, hivyo kuwapunguza nguvu washindani wake.

- Fitna na Uingereza wake, alikuwa ana influence mpaka kwa marefa, na chama chao cha mpira.
 
Sir Alex aliipenda kazi yake na aliweka viwango vya juu kwa kila mchezaji ku archive

Nilikuuliza ni mechi gani toka uanze kufuatilia mpira enzi za fergie ilipendelewa sidhani km utasema

Fergie alijitafuta sana misimu ya mwanzo united alimanusura United iporomoke daraja

Kafuatilia game ya man utd vs chelsea yupo webb kati[emoji23]
Sisemi fergie alipendelewa or ni kocha mbovu ila naamini pep leo anaenda kuchukua position ya fergie na si kwasababu tu ya uefa no!! The man is genius!!! Amedominate mpira wa epl kitu kilichokuwa kigumu na ametuachia xavi ten hag na arteta we call it legacy!!!
 
Mechi hazizidi tatu web alizoboronga

Ten hag sio zao la Pep mtoe apo

Xavi bado yule, arteta ndio usiseme
Kafuatilia game ya man utd vs chelsea yupo webb kati[emoji23]
Sisemi fergie alipendelewa or ni kocha mbovu ila naamini pep leo anaenda kuchukua position ya fergie na si kwasababu tu ya uefa no!! The man is genius!!! Amedominate mpira wa epl kitu kilichokuwa kigumu na ametuachia xavi ten hag na arteta we call it legacy!!!
 
Ten hag alijitafuta mwenyewe na Bayern alienda timu ya vijana yeye km yeye Bayern

Km unaifatilia Barcelona ,xavi bado hajawa kocha mzuri

Arteta unamwamini yule?[emoji16]

Xavi hajawa kocha mzuriii bro mmmh unazingua . Xavi toka anafundisha ile timu ya huko uarabuni final game ya fifa club world cup ile timu the way ilivyokuwa inacheza [emoji91][emoji91]! Arteta kaonyesha ni kocha bora this season huwezi kubisha kwa hali iliyokuwa nayo arsenal ! Wenger misimu ya mwisho uefa alikuwa hacheziii now arteta ndo kairudisha arsenal kwenye ubingwa wao wa top 4. Vipi na kompany na burnley ilikuwa inacheza mpira wa butua krosii kona goli now inavyocheza ni tofauti kabisa
 
Xavi ni kocha mzuri lkn bado hajafikia ile elite

Arteta huyu nitafuatilia mechi za Arsenal msimu ujao,ila kutokana na performance ya msimu namwona kocha wa daraja la Kati

Burnley sjaiona pia
Xavi hajawa kocha mzuriii bro mmmh unazingua . Xavi toka anafundisha ile timu ya huko uarabuni final game ya fifa club world cup ile timu the way ilivyokuwa inacheza [emoji91][emoji91]! Arteta kaonyesha ni kocha bora this season huwezi kubisha kwa hali iliyokuwa nayo arsenal ! Wenger misimu ya mwisho uefa alikuwa hacheziii now arteta ndo kairudisha arsenal kwenye ubingwa wao wa top 4. Vipi na kompany na burnley ilikuwa inacheza mpira wa butua krosii kona goli now inavyocheza ni tofauti kabisa
 
Sir Alex aliipenda kazi yake na aliweka viwango vya juu kwa kila mchezaji ku archive
Kuna mtu asiyependa kazi yake ?!!! Fergie alipata bahati crop ya talent kubwa ilipanda kwa wakati mmoja kutoka academy; Kina Gigs, Scholes, Gary Neville wote walipanda kutoka academy kwahio walikuwa wanamsikiliza ipasavyo, na hio ndio ilipelekea hata David Berkamp kutokana na U-Prima Donna wake na kuwa kwenye media kwa sana na kumuoa star Victoria walikuwa wana-crash na Sir Alex..., Point yangu ni kwamba sasa hivi ni vigumu sana kuwa mkali kwa ma-star unaweza kujikuta Kazi inaota mizizi kama Gullit alivyomuweka Bench Allan Shearer au kama kule Liverpool ubishane na Michael Owen au Steven Gerald...; Wachezaji mastar kuwamanage ni vigumu hususan ukiwa mkali sana ni rahisi ku-backfire especially siku hizi
Nilikuuliza ni mechi gani toka uanze kufuatilia mpira enzi za fergie ilipendelewa sidhani km utasema

Fergie alijitafuta sana misimu ya mwanzo united alimanusura United iporomoke daraja
It's a well-established idea among football fans that there's something called "Fergie time" - an extra helping of added time when Sir Alex Ferguson's team, Manchester United, are losing. But does it really exist?
The final minutes of a football game can be the tensest. If the match is tied, and both teams are desperate for victory, or one side is a goal down with the chance of pulling off a draw, these are desperate times.
Some (mostly non-Man Utd fans, it is fair to assume) accuse Sir Alex Ferguson's team of getting more added time to score that crucial final goal than any other team - and have dubbed this Fergie time.
If it does exist, it follows that referees aren't doing their job properly, as it's their responsibility to calculate how much time to add on at the end of the standard 90 minutes.
It is widely believed that referees add 30 seconds for each goal and substitution, and a certain amount for other stoppages such as injuries.

Ni ukweli usiopingika kwamba referees wengi sio kwamba walikuwa wanakula rushwa bali intimidation na Fergie kuwa mkali kwao walikuwa maamuzi wanayotoa kama hawana uhakika walikuwa wanawapa Man United - Sio kwamba wamekula Rushwa ila ni intimidation ya ukifanya kosa against United Utaandamwa mpaka ushangae na sio referees pekee hata waandishi wa habari ukiwa against united Fergie hakupi interview....
 
Ndugu logikos wachezaji watakuchezea tu km hujaset standard

Ukiset standard
Ukakielezea kwa usahihi kile wachezaji wanatakiwa wafanye uwanjani/mbinu
Respect,love,motivate yours players

Hakuna mchezaji atakuzingua

Sasa kocha uwe upo kizembe hata huwezi kufafanua falsafa zako mchezaji gani atakuheshimu

Wachezaji wakubwa wanaangalia timu na kocha

Akiona kocha zoba kwenye timu yako haji

Angalia mfano Messi juzi wakati anaenda kujiunga inter miami aliangalia kocha aliyepo neville ni zoba! Akamwambia beckham mwondoe kwanza uyo kocha
 
Ameshinda EPL tano ndani ya miaka sita aliyokuwepo Uingereza, huyu mtu ni superhuman!.
Sina hakika na hao anaowashinda ILA tambua tu, zama hizi sio zama za mpira niliowahi kuuona mimi nikiwa shabiki!

Kuna mtu amesema sikuwahi kufuatilia mpira, kwakuwa nimesema Pep anaandaliwa timu na anatembea kwenye pesa!

Naomba unisaidie kucheki, muenendo wa Pep tangu akiwa msaidizi wa makocha bora!
 
Ukwasi hauchezi mpira myfriend!.

Guardiola ameleta mapinduzi ya football kwenye pitch, kama ni suala la ukwasi, siku hizi timu nyingi zina pesa, lakini mbona zote hizo zinashindwa kucheza mpira wenye mafanikio kama wa Guardiola?

Ameshinda EPL tano ndani ya miaka sita aliyokuwepo Uingereza, huyu mtu ni superhuman!.

Nionavyo, akienda PSG ndio ataifanya ile ligi ya France iwe one sided ever, kama ameweza kuituliza EPL pamoja na uwepo wa wajuaji wengi, kwa ligi ya Ufaransa ndio hata usiulize!.
Hakuna cha Superhuman wala nini.
Hata Kloop angepewa pesa kama hizo anazopewa Pep angeshinda makombe mengi kuliko hata haya aliyoshinda Pep.
 
Hata Pep anaingia fainali kwa sababu timu nyingi kubwa haziko kwenye Pick.
Namaanisha CL ya mwaka huu ni dhaifu.
Na sio hilo tu, quality ya mpira imeshuka sana ukifananisha na miaka mingi nyuma!

WC zote kuanzia 2014 zimethibitisha hilo, sasa hiyo ndio advantage anayotembelea Pep kwa kukaa sehemu muda mrefu, pesa na kurithi timu iliyojengeka tayari
 
Nguvu ya pesa ipi ? Hivi pep ametembelea timu gani iliyoundwa na wengine mmmh bro unafuatilia mpira kweli?? Pep pale man city amemkuta kdb pekee ake wengine wote kasajili yeye! Nitajie mchezaji ambae hajasajiliwa na pep?
Unamaanisha kuwa KDB ndio alikuwa mchezaji pekee? Timu ilikuwaje yenye mchezaji mmoja?

Sio tu pale City, anzia Barca, Bayern kisha City, nisaidie majina ya makocha waliomuachia timu, amezikuta timu kwenye hali gani na wachezaji gani aliwarithi na akakaa nao kwa muda gani!

Kutoka Barca kwenda Bayern, alipumzika muda gani, kwanini? Kutoka Bayern kwenda City, amepumzika muda gani?
 
Back
Top Bottom