Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Unamaanisha kuwa KDB ndio alikuwa mchezaji pekee? Timu ilikuwaje yenye mchezaji mmoja?

Sio tu pale City, anzia Barca, Bayern kisha City, nisaidie majina ya makocha waliomuachia timu, amezikuta timu kwenye hali gani na wachezaji gani aliwarithi na akakaa nao kwa muda gani!

Kutoka Barca kwenda Bayern, alipumzika muda gani, kwanini? Kutoka Bayern kwenda City, amepumzika muda gani?

Kwa timu ya sasa ni KDB tu ndo pep kamkuta tena kumbuka kdb usajili wake ulivyopondwa na wachambuzi kuwa halingani na thamani ya pesa! Wakina tata maritino, vilanova wameishindwa na barca ilikuwa na wachezaji hao hao wazuriii!!
 
Pep hakumkuta ronaldinho pale Barca, ronaldinho akiondoka mwaka huo ambao pep ndio alianza na Barca. Uwe mfatiliaji

Etoo amekaa na pep msimu mmoja tu, akaachana nae. Wengi walibeza pep kumuacha etoo, lakini alikua anajua nini anafanya.

Barca kabla ya pep ilikua na utawala wa Ronaldinho, Etoo na Deco. Lakini pep alivyofika alitengeneza wake Xavi, iniesta na Messi.

Pep pale Barca alipenda kutumia zaidi youngsters wa la masia, ndio maana unaona hata kwenye beki wa Kati alimtumia pique na kuachana na Marquez, kwenye kiungo wa chini alimuinua busquets na kuchana na Yaya toure

Pembeni alimuinua pedro
Kesho ntacheck mkuu
 
Katika misimu minne ilibidi asisajili kabisa? Alafu zlatan, Sanchez na fabregas hawakuleta impact, project ya kuwatumia ilifeli. Ndio uone tatizo sio kusajili wazuri bali kuwaingiza kwenye mfumo
Mwambie huyo boya kuwa

Zlatan pep hakumnunua bali wali swap na Etoo akaongeza pesa kidogo tuu

Fabregas alijiongezea pesa mwenyewe ili ahamie barca
 
Na sio hilo tu, quality ya mpira imeshuka sana ukifananisha na miaka mingi nyuma!

WC zote kuanzia 2014 zimethibitisha hilo, sasa hiyo ndio advantage anayotembelea Pep kwa kukaa sehemu muda mrefu, pesa na kurithi timu iliyojengeka tayari
Amerithi team je karithi mchezaji?
 
Hamna haja ya maneno mengi weka takwimu tuone nani kinara, kuna hoja imetolewa hapo na mmoja wa wachangiaji akisema Fergie ni bora kwa sababu aliwika katika zote zite mbili ya awali (natumai akimaanisha before 2000's na sasa post 2000's) kitu ambacho kwangu naona hakina mashiko kwani mpira ni mbinu, na suala la rushwa ni dhana tu kama haijathibitika

Hivyo mchawi ni takwimu tu, na mwenye vikombe vingi ndio bora. Period
 
Pep apewe tu maua yake he is a genius!!!! Ivi stones angesajiliwa na kocha mwingine angecheza kama anavyocheza hio postion hapo man city au angekuwa beki kitasa kama maguire, holding au koulibaly[emoji23][emoji23][emoji23] maana everton alikuwa beki kitasa
 
Back
Top Bottom