Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Embu fikiria 100mil mtu anaenda kumnunua antony

Embu fikiria 100mil mtu anaenda kumnunua antony

Bado mtu anakwambia hela zinachangia!! Chelsea wametoa hela kibao na rundo la wachezaji lakini wapo wapi??. Kikosi cha city kimejengwa na pep mwenywe kuanzia gk mpaka st wote kawakusanya timu mbalimbali wakiwa na kiwango cha kawaida!! Stones, ake, rodri, bernado, cancelo , laporte na dias Gundogan alikuwa kama kaishaa alivyotoka Dortmund kutokana na majeruhi ya mara kwa mara!!
Watu wanaona kama kikosi cha city ni hela sana lakini hawaangaliii kimejengwa kwa utaalamu mkubwa sana na genius pep!!
 
Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one

Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa

Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all

Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question

Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy

Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa

Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa

To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing

Pep is second
Kwa kuongeza tu, Ibrahimovic alikataa yeye kulinganishwa na watoto ambao ama wako kwenye prime time yao au ndo wanaanza wakati yeye akiwa kwenye late 30s.

Ferguson na Pep? Huyu Pep asiyetembea bila nguvu ya pesa? Huyu anayetembelea kwenye timu iliyoundwa na wengine tayari?

Wapo makocha bora wengi sana, Pep ndio atafunga dimba ukiamua kuwajumuisha wote, ila sio kumshindanisha na wote!
 
Guardiola hana mpinzani kwenye kufundisha mpira hapa ulimwenguni kwa sasa, ameshathibitisha ni mwalimu bora sana.
Ni kweli au nguvu ya ukwasi ndo inatufumba macho?

Ebu muangalie kuanzia mbali kidogo, kuna sehemu unaweza hisi pengine na bahati inambeba tu!

Ukimpa PSG huyu unadhani mtataka?

No wonder, Messi bila Barca ni bure kabisa!
 
Timu mpaka kumwagia pesa ina maana alisha onesha uwezo wake
Alipokuwa barca uwezo wake ulionekana na alikuwa na kikosi sio cha pesa mingi
Mahaba yamekujaza upumbavu kichwani badala ya akili njema.

Kiparangoto aliikuta Barcelona FC ikiwa imetoka kubeba makombe ya UEFA CL, la Liga na Copa Del Rey chini ya Ronaldinho, E'too, Xavi, Iniester, Puyol na Wachezaji wengine mahiri kimpira.

Akatoka pale na kwenda Bayern Munich ikiwa imebeba UEFA CL, Bundles Liga n.k na ilikuwa ya moto kupita maelezo.

2016 akaja Man City kaikuta imetoka kubeba makombe ya EPL, na kutinga semi finals za UEFA CL ikiwa na akina Kuna Aguero na V Kampani tena ilikuwa bora sana.

Sasa timu ipi Kiparangoto alianza nayo kimafanikio ikiwa ina Wachezaji wa kawaida na kubeba nayo makombe kama ilivyokuwa kwa Mourinho akiwa na FC Porto, Klopp akiwa na Liverpool, Conte kaiwa na Intermilan?

Usisahau wapo akina Zizou walibeba UEFA CL mara 3 mfululizo, La liga ila bado huonekana ni Makocha wa kawaida tu.

Pep bila pesa na Wachezaji bora hata Zahera anamzidi ubora wa ukocha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ruben dias mpaka anakuja man city tayari alikua cooked product, usije jidanganya kua alikuja akiwa mweupe, kwa dau la paundi miloni 65 kutoka benfica inamfanya kua beki wa kati namba 4 ghali zaidi Duniani...

Sio kwamba alitoka academy au championship huyo
Kuna mchezaji city wamenunua kwa kuvunja bank?

Si wa kawaida tu toka bornamouth Ake,

Goal keeper wa city ederson alitokea wapi?

John stone ametoka wapi?

Laporte je wapi

Akanji wapi?

Ushawaona hao wana takiwa ata na team kubwa?

Huyo ndiyo Coach sasa anaangalia talents zisizo na gharama
 
Mahaba yamekujaza upumbavu kichwani badala ya akili njema.

Kiparangoto aliikuta Barcelona FC ikiwa imetoka kubeba makombe ya UEFA CL, la Liga na Copa Del Rey chini ya Ronaldinho, E'too, Xavi, Iniester, Puyol na Wachezaji wengine mahiri kimpira.

Akatoka pale na kwenda Bayern Munich ikiwa imebeba UEFA CL, Bundles Liga n.k na ilikuwa ya moto kupita maelezo.

2016 akaja Man City kaikuta imetoka kubeba makombe ya EPL, na kutinga semi finals za UEFA CL ikiwa na akina Kuna Aguero na V Kampani tena ilikuwa bora sana.

Sasa timu ipi Kiparangoto alianza nayo kimafanikio ikiwa ina Wachezaji wa kawaida na kubeba nayo makombe kama ilivyokuwa kwa Mourinho akiwa na FC Porto, Klopp akiwa na Liverpool, Conte kaiwa na Intermilan?

Usisahau wapo akina Zizou walibeba UEFA CL mara 3 mfululizo, La liga ila bado huonekana ni Makocha wa kawaida tu.

Pep bila pesa na Wachezaji bora hata Zahera anamzidi ubora wa ukocha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Uongo mtupu hawq wachezaji wa city walishawahi takiwa naclub yeyote kablahawajaenda city?
 
Hela zipi timu gani isiyotoa hela? Maguire, sancho anthony pogba wamenunuliwa kwa pesa ndefu lakini hatujaona walichofanya cha maana man utd
Man City bila pesa hana ubora wowote, lini Man Utd ilituhumiwa na FIFA au FA kutumia pesa nyingi kupitia sheria FFP?

2023 Man City ina tuhuma za makosa zaidi ya 101 ya matumizi mabaya ya pesa zilizo kinyume na taratibu za FA, amka usingizini wewe usiendeshwe na mahaba [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Bado mtu anakwambia hela zinachangia!! Chelsea wametoa hela kibao na rundo la wachezaji lakini wapo wapi??. Kikosi cha city kimejengwa na pep mwenywe kuanzia gk mpaka st wote kawakusanya timu mbalimbali wakiwa na kiwango cha kawaida!! Stones, ake, rodri, bernado, cancelo , laporte na dias Gundogan alikuwa kama kaishaa alivyotoka Dortmund kutokana na majeruhi ya mara kwa mara!!
Watu wanaona kama kikosi cha city ni hela sana lakini hawaangaliii kimejengwa kwa utaalamu mkubwa sana na genius pep!!
Chelsea katoa hela kibao chini ya Kocha yupi mwenye ubora au hata rekodi za kubeba ubingwa wowote? Kweli mahaba ni utumwa.

Mbona huizungumzii Chelsea iliyokuwa chini ya Abrahamovich ikiwa inatoa pesa ilikuwaje kimafanikio tangu iendeshwe na huyo Mrusi?

Timu gani iliifikia Chelsea kimafanikio tangu 2003 hadi 2022 chini ya Abrahamovich?

Chelsea ya 2023 imetoa pesa ila haijamweka Kocha makini mwenye uzoefu na mbinu mbali mbali zaidi ya Walala hoi wa kukochi midtable teams akina HP na FL.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kuongeza tu, Ibrahimovic alikataa yeye kulinganishwa na watoto ambao ama wako kwenye prime time yao au ndo wanaanza wakati yeye akiwa kwenye late 30s.

Ferguson na Pep? Huyu Pep asiyetembea bila nguvu ya pesa? Huyu anayetembelea kwenye timu iliyoundwa na wengine tayari?

Wapo makocha bora wengi sana, Pep ndio atafunga dimba ukiamua kuwajumuisha wote, ila sio kumshindanisha na wote!

Nguvu ya pesa ipi ? Hivi pep ametembelea timu gani iliyoundwa na wengine mmmh bro unafuatilia mpira kweli?? Pep pale man city amemkuta kdb pekee ake wengine wote kasajili yeye! Nitajie mchezaji ambae hajasajiliwa na pep?
Pesa zipi unazoongelea wewe , chelsea katumia pesa kibao mwaka huu yuko wapi?, man utd anawachezaji kibao wa pesa nyingi! Unaona ilivyo inajitafuta!!
Pep ndo kocha bora namba moja, kwanza angalia wanafunzi wake wanavyofanya vizuriii now kikubwa tunachoangalia ni legacy , pep anatuachia makocha bora kabisa xavi, arteta ten hag bila kumsahau kompany!
Uliposema pep anatumia pesa Fergurson hajatumia pesa? Rio alivunja transfer record ya man utd, veron na Berbatov! Hakuna timu isiyotumia pesa!
Man utd , chelsea na arsenal wametumia pesa kushinda hata man city !
 
Uongo mtupu hawq wachezaji wa city walishawahi takiwa naclub yeyote kablahawajaenda city?
Huna akili, Gundogan si alikuwa B Dortmund?

Unajua alikuwa analipwa mshahara kiasi gani?

Je Mahrez alikuwa anakichafua vipi akiwa Leicester City kabla hajaja Mwa-City?

Pep bila pesa ni Kopo tupu, kwanza kashatumia pesa tele miaka 7 Etihad ndiyo anatarajia kubeba UEFA CL mwaka huu na ni sababu tu klabu zingine hazijawa na Makocha wakubwa kiushindani zaidi ya Liverpool tu ambayo inaminywa kiuwezeshwaji wa pesa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom