Pep Guardiola: Huwa nacheka sana wakisema Ronaldo anahama club kutafuta ili changamoto

Pep Guardiola: Huwa nacheka sana wakisema Ronaldo anahama club kutafuta ili changamoto

Ronaldo offered to Barcelona
1 hour ago 08:15

Cristiano Ronaldo has been offered to Barcelona as Juventus look to reduce their gigantic wage bill. With the Serie A champions hit hard financially by the Covid-19 pandemic, the club is looking to get rid of Ronaldo's mammoth contract and have contacted Barcelona about their interest, according to Spanish journalist Guillem Balague. Ronaldo was Juve's top scorer during the recent season with 35 goals in all competitions.

Source : Transfer news and rumours LIVE: Ronaldo offered to Barcelona | Goal.com
 
jeshi la mtu mmoja
Screenshot_20200813-110404.jpg
 
Nimemuelewa vizuri. Anaowacheka ni hao wanaosema R7 anaendaga kutafuta changamoto. Mfano akitoka hapo aende PSG, ni changamoto gani anayoenda kuitafuta?
Na anapoibuka mfungaji bora wa ligi hizo zote Napo huwa anacheka sana au
 
Pep aache visa bana. CR 7 yuko sahihi. Kacheza Man U kachukua UEFA Champ, kaenda Real Madrid kachukua tena mara tatu mfululizo. Sasa kaamua kwenda nchi nyingine timu kubwa nyingine ambayo inakilakitu ila tu haijachukua hili kombe na ina uchu wa kulichukua, sasa CR7 kujiunga na timu hii sio changamoto mpya?! Maana timu haijamsajili kuwasaidia kuchukua kombe la ligi au lingine lolote ni UEFA, hii ni changamoto kubwa sana kwa CR7. Yeye kwenda ujerumani alikua anafata hela na sio changamoto kwa kazi yake ni sawa, tuna uhuru wa kila mtu kua na mtazamo kwenye kazi yake.
 
Back
Top Bottom