Pep Guardiola kaigeuza ligi kuu ya uingereza kuwa farmer's league?

Saizi Manchester city inatakiwa iwe inacheza mechi chache za ligi ili hawa kina man utd,arsenal na livapuli waweze kuchukua kombe
 
Klopp aende PSG, pesa ipo!
 
Acha ulevi majogoo wana average player ? Nunez,salah,sobo,maca,trent,diaz,alison
 
Ancelloti anajua lakini akija EPL anakalishwa na Mikel Arteta mwanafunzi wa Pep.

Ancelotti anabebwa zaidi na ukubwa wa real madrid, timu kubwa zaidi duniani.

tukisema na PEP nae anabebwa na hela ya city tunakosea? Ukubwa gani uliokuwa nayo Real Madrid unaombeba Carlo? unafahamu Carlo aliikuta Real ikiwa kwene hali gani? huo ukubwa mbona haukufanya kazi kipindi timu ikiwa inafundishwa na Solari?
 
wadau wa EPl wanaaibika sana, walikuwa wakipiga kelele kuita ligi za wenzao famers kisa tu ku top team ina dominate pale, sasa hivi ngoma imewageukia wao, unawakuta bado wanatapatapa kujenga hoja
 

EPL kila mechi ngumu sio, muna vituko sana kwa kweli
 
huo ugumu wa hizo mechi za EPL uko wapi? au ndani ya akili yako? City kamaliza na 90+ points, Arseanal 89 points hizo mechi zilikuwa ngumu vipi?
Kiwango cha ushindani ndio ugumu wenyewe.
La liga,Bundesiliga kote huko mshindi wa ligi alishajulikana mapema mechi tano na zaidi kabla ya mchezo wa mwisho,kitu ambacho kimekuwa tofauti sana kwa epl. Epl mpaka game za mwisho ndo mnamuona mshindi.
 
Binafsi naamini PEP talent ID yake iko juu sana,ni exceptional,halafu anaenda timu yenye misuli ya ushindani sokoni plus ana uwezo mkubwa wa kusimamia nidhamu kwa wachezaji,huwezi kuleta UFAZA kwa PEP ukatoboa.
 
Kiwango cha ushindani ndio ugumu wenyewe.
La liga,Bundesiliga kote huko mshindi wa ligi alishajulikana mapema mechi tano na zaidi kabla ya mchezo wa mwisho,kitu ambacho kimekuwa tofauti sana kwa epl. Epl mpaka game za mwisho ndo mnamuona mshindi.
Usipate Shida kumuelewesha,hajui level ya ushindani ya EPL,aangalie Sajili za EPL na ligi zake, Nottingham forest imepanda daraja but imemsajili Taiwo awonii Kutoka Union Berlin,mchezaji ambae Hata BayerLeverkusen hawawezi kumnunua,

Aangalie tofauti ya uwekezaji wa vikosi EPL na Ligi Zingine, tofauti,tImu EPL zina Pesa sana ndio maana ligi Ngumu,Kila tImu Ina player wa maana,angalia mbio za ufungaji Bora,now watu Watano walikua wanauma kugombea Golden Boot,enzi za Auba walifungana watu Kama watatu au wanne kama sikosei,Auba,Son,Kane,Salah
 
Epl achana nayo kabisa hii ligi, pamoja na ukubwa wa City bado Arsenal ilikua na matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa.

Leo hii Man u hana anachopambanii chochote zaidi ya Epl msimu ujao, Chelsea nae chupuchupu awe kama mwenzie.

City utawala wake nae soon unatamatika, uzuri wa EPL ni kuimba kupokezana. Utakua bora ila huchukui kombe kindezi.
 
Arsenal tayari inaongozwa na mwanafunzi wake Mikel Arteta, kaifufua Arsenal imekuwa tishio, ni suala la muda tu Mikel Arteta atakuwa bora kuzidi hata mwalimu wake, Arsenal itabeba makombe back to back
Kikubwa wote wahispania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…