mkuu nitake radhi jins ninavyokufagilia wewe sio wa kuongea maneno hayo Ningekuwa MOD ningekupa ban 7bu ww ni kioo cha jamii alaf unaongea vitu visivyotakiwaIla Barca atatolewa na Atletico..
hivyo Bayern now ana nafasi kuubwa ya kuwa bingwa
mkuu nitake radhi jins ninavyokufagilia wewe sio wa kuongea maneno hayo Ningekuwa MOD ningekupa ban 7bu ww ni kioo cha jamii alaf unaongea vitu visivyotakiwa
sasa mkuu ukiniambia rekod ya barca uefa ni mechi 1 kat ya 6 nakuwa cjakupata vzur sababu mechi yetu ya mwisho kati ya R.MADRID vs BARCA ilikuwa kipind cha mou na madrid alichezea home and away AU NDIYO HIYO MOJA PEKEESoma vizuri historia ya Barca akikutana na timu za spain kwenye Champions league
kashinda mechi moja tu kati ya sita
sasa mkuu ukiniambia rekod ya barca uefa ni mechi 1 kat ya 6 nakuwa cjakupata vzur sababu mechi yetu ya mwisho kati ya R.MADRID vs BARCA ilikuwa kipind cha mou na madrid alichezea home and away AU NDIYO HIYO MOJA PEKEE
kwanza ASANTE kwa kuruka mada ila pia atletico nusu walicheza na ChelseaKwani Madrid na Atletico walipokutana fainali
Atletico walimtoa nani nusu fainali?
kwanza ASANTE kwa kuruka mada ila pia atletico nusu alicheza na ChelseaKwani Madrid na Atletico walipokutana fainali
Atletico walimtoa nani nusu fainali?
alaf la kushangaza zaid unakuta na uchaw wake anafua dafu kwa mchezaj mmoja tu KINGHuyo kocha ni mchawi aiseee!! si bure
kwanza ASANTE kwa kuruka mada ila pia atletico nusu walicheza na Chelsea
kwanza ASANTE kwa kuruka mada ila pia atletico nusu alicheza na Chelsea
Samahani mkuu hyo link kwangu inanisumbua kufunguka labda ungenielezea kiufup kilichomo ili nipate mwangaza na hiki tunachokizungumza
sorry ni nusu PSG alitolewa na Atletico
Barca hashindi kwa AtleticoAtletico anapigwa asubuhi sn
Barca anaongoza ligi kwa tofauti ya Point 12 Atletico akiwa miongoni mwao. Na mechi za hivi karibuni Atletico kachezea.Barca hashindi kwa Atletico
Je vipi kwa sasa toka league yao ianze?season ya 2013/14 Barca walitolewa na Atletico robo fainali
season ya 2013/14 Barca walitolewa na Atletico robo fainali
Nadhani hujaelewa, ama hujaelewa vya kutosha. Ngoja nkujaze maarifa kidogo kuhusu mrembo pep guardiola, anayependa copy and paste vya wanaume wenzake.dah mbona Pep pale Bayern jana hakua na Messi na alitisha mno?
achiliambali kushnda vikombe tele huko Ujerumani?
Hakika Mkuu wewe unafatilia soka, Board haimtaki jamaa. Na ni kumlindia heshima tu ndo maana walimuacha msimu huu aendelee na Bayern, ila kile kipigo walichopewa na Madrid ilibidi jamaa atimuliwe msimu ule ule.Makosa ya Juve pamoja na subs mbovu ndiyo yameicost Juve otherwise Bayern ilikua imetoka. Kumbuka akiwa Barca alikua na uhakika wa ushindi hata kabla ya half time sio hadi dakika za mejeruhi.
Bayern kushinda bundes liga ni kawaida, bundes liga ni pretty much one team league. Bayern inapimwa UCL kitu ambacho kashindwa kudeliver hadi sasa na hatoweza. Una habari inner circle ya Bayern hawamkubali Pep