Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

City tayari ilikua "in the room" Pep hajaikuta city mkiani. Tayari ilikua in the build up process na ilikua inaenda sawia so far, kumbuka ni miaka kadhaa tu nyuma city ilibeba EPL, Pep kaja kuendeleza tu na kuongeza palipokuwep. Sio sawa na Ranieri au Klopp Dortmund

Tatizo Wengi wenu mnasahau volatility ya EPL, mnaishia kumpa Pep sifa. EPL timu kuwa tishio msimu mmoja na next season kuwa si lolote ni jambo la kawaida. Mwaka juzi ilikua Leicester Leo hii ipo wapi, mwaka jana Chelsea sasa nani anaeiogopa Chelsea, mwaka huu City, mwakani amini nawaambia city itakua uchochoro. Sijui what is the fuss all about kuhusu hii city ukiangalia na tabia ya EPL.

So, hata sasa sioni cha ajabu ambacho Pep kafanya ni kawaida ya EPL na city kama Barca au Bayern aliikuta in the process.

UEFA asahau. Ni aibu kuiweka City na UEFA kwenye sentence moja
Mkuu acha chuki na Pep.Pep kaondoa Man city zaidi ya wachezaji 10 waliokuwa wanaanza then kaleta wachezaji anaowahitaji yeye then unasema Pep si chochote?.

Pep kaikuta Man city ikiwa yakawaida na sio useme bora,Pep kaikuta Man city inacheza mpira ambao haueleweki,leo hii kaleta aina ya mpira wake ambao mlisema EPL hauwezi kufua dafu lkn anawakimbiza.

Pep kakuza majina ya wachezaji wa Man city,hakuna hata mchezaji mmoja wa Man city alienunuliwa zaidi ya yuro 60Million but leo nenda kawaguse wakina KDB,Fernadinho,Gabrie,Hudogan,Sterling huyu alietaka kuuzwa na kuongezewa na pesa ili amchukue Sanchez.

Unasema Klop kocha bora,kocha bora ambae ameperform Bundasiliga lkn EPL mwka wa tatu huu akiendelea kujenga timu a ha ha ha.

Tatizo sio useme R city,Chelsea walikuwa kwenye form,walikuwa kwenye form huku ndio Chelsea akichukua ubingwa kwa tofauti ya point saba.R city sikumbuki vzr,Na uhakika M city itachukua ubingwa kwa zaidi ya point 20 na atatangaza ubingwa itakapofiia mwezi wa pili.

Kuhusu Man city kuchukua Uefa hilo anaweza akachukua au asichukue maana Uefa nje ya kuwa na kikosi bora lkn bahati pia hutawala.Kwahiyo mie binafsi naweza kukuambia Man utd anaweza chukua uefa ingawa ana kikosi kibovu sana ukilinganasha na Chelsea,Tot,Liver,Man city ila kwa sababu ya bahati anaweza.

Mwisho Man city atawachukua ubingwa mara tatu mfulululizo kama Pep ataendelea kukaa hapo.

Pep Man city hakuna mchezaji hata mmoja aliemchukua kwa Euro 65Million lkn tumeona kwenye vikosi vyenu.

Pep mnachuki nae lkn kaja kuwaonyesha ligi ya EPL niligi ambayo haina ushindani maana tofauti ya point 15 hakuna ligi nyingine mpaka sasa imetokea tofauti ya point hizo nje ya ligi yenu bora ya EPL.

Mwisho Mou atafukuzwa tena Man u,sio kwa sababu hajui bali kwa sababu kuna kocha kamzid uwezo kaja kumpiga.

Cha kufurahisha Pep ana miaka 9 tu katika ukocha wake lkn nizaid ya vibabu vilivyokaa miaka 20 kwenye okocha.

Narudia UEFA haina mwenyewe ndio mana Mou anaelekea kufikisha miaka 10 bila uefa,lkn Zizou anazo 2.

Kama unamtoa City uefa basi pia kumbuka hakuna timu ya EPL yenye uwezo wa kuchukua Uefa.

Msiempenda Pep kaja kwenye ligi yenu yunahitaji mumpe tena mtihani mwingine,maana ule wa mpira wa Tiktaka kufua dafu EPL tumeshapata majibu yake.Toeni tena mtihani mwingine kiongozi.
 
Jamaa unajitoa ufahamu au?
Unasema Bayern kombe la bundesliga ni lao miaka nenda rudi unasahau walilikosa miaka miwili ya utawala wa Dortmund wazee wa BVB enzi za Klopp.
Unasahau juzi juzi tu baada ya kuondoka Josep Guardiola babu Carlo Anchelotti kafanya vibaya sana hadi kafukuzwa?
Kwani huyo Anchilotte sio zaidi ya Bashite?
Unatumia kilevi gani mchambuzi fake wa soka?

Kuhusu kutochukua tena UEFA subiria utayakana haya maneno yako. Hata ukifuta post yako kumbukumbu itabaki hapa kwangu na nitakukumbusha tuombe uhai.

Miaka miwili ni utawala????? Du magufuli kawaweza kwelikweli kitendo cha kufungia ajira mnapoga soga tu za uongo.
 
Miaka miwili ni utawala????? Du magufuli kawaweza kwelikweli kitendo cha kufungia ajira mnapoga soga tu za uongo.
Utawala unaanzia na kuishia miaka mingapi?
Umekariri mkuu?
 
Klopp ni kocha Bora zaidi ya Pep. Klopp kaichukua Dortmund 2008 ikiwa haina mbele wala nyuma wala pesa za kumwaga. kaipa Bundes liga 11 na 12, German cup na kufika fainali UEFA, sababu UEFA mtoto halali na hela nae akanyolewa ila he had a good run. Hata city ya Pep haitafurukuta UEFA kamwe.

Ni swala la muda tu Liver kuwa tishio EPL bado yupo in build up process, tayari kuna mwanga umeanza kuonekana. Huyu ni Kocha anayejenga mwenyewe sio Pep anajengewa yeye kutafuna tu afu mashabiki maandazi wanakuja kusema haijawahi tokea Kama Pep, wanamucha Ranieri au Porto ya Mou.
Duh! Itakuwa huna akili timamu klop ni bora kuliko pep?

Kwa mantinki izo za kitoto ina maana klop ni bora kuliko mourinho na zizzou?
 
City tayari ilikua "in the room" Pep hajaikuta city mkiani. Tayari ilikua in the build up process na ilikua inaenda sawia so far, kumbuka ni miaka kadhaa tu nyuma city ilibeba EPL, Pep kaja kuendeleza tu na kuongeza palipokuwep. Sio sawa na Ranieri au Klopp Dortmund

Tatizo Wengi wenu mnasahau volatility ya EPL, mnaishia kumpa Pep sifa. EPL timu kuwa tishio msimu mmoja na next season kuwa si lolote ni jambo la kawaida. Mwaka juzi ilikua Leicester Leo hii ipo wapi, mwaka jana Chelsea sasa nani anaeiogopa Chelsea, mwaka huu City, mwakani amini nawaambia city itakua uchochoro. Sijui what is the fuss all about kuhusu hii city ukiangalia na tabia ya EPL.

So, hata sasa sioni cha ajabu ambacho Pep kafanya ni kawaida ya EPL na city kama Barca au Bayern aliikuta in the process.

UEFA asahau. Ni aibu kuiweka City na UEFA kwenye sentence moja
Kwa mantiki iyo hata zizzou ni boya tu kwa klop?
 
Mkuu sijui watu Wanaangalia Ligi moja Tuu ya EPL baaasi Kwengine hawafuatiliii,
Kocha Kama Vicente del bosque kocha Bora muda wrote Madrid 2000-2005 alikuwa hakanyagi MTU pale,AC Milan 2000-2006 Carlo Anceloti ya kina Clarence seedof,Man united ya 1999 Sir Alex furgie....Kina Ole gunar solsijier,Teddy Sheringham,And Cole,
No Vema watu waweke vigezo yaani Standards au KPI ili kika Mmoja Tujue Tunajadili nini...
Kama ni
1.Makombe ligi,Uefa,Dunia
2.Kutoa Wachezaji bora kwenye ligi,Ulaya.
3.kuweka Historia Ya Kutofungwa,kufunga magoli mengi,
4.Tuweke vigezo ambavyo kila MTU Atavielewa na Vinaonekana Vinaweza Kuhesabika
 
Klopp ni kocha Bora zaidi ya Pep. Klopp kaichukua Dortmund 2008 ikiwa haina mbele wala nyuma wala pesa za kumwaga. kaipa Bundes liga 11 na 12, German cup na kufika fainali UEFA, sababu UEFA mtoto halali na hela nae akanyolewa ila he had a good run. Hata city ya Pep haitafurukuta UEFA kamwe.

Ni swala la muda tu Liver kuwa tishio EPL bado yupo in build up process, tayari kuna mwanga umeanza kuonekana. Huyu ni Kocha anayejenga mwenyewe sio Pep anajengewa yeye kutafuna tu afu mashabiki maandazi wanakuja kusema haijawahi tokea Kama Pep, wanamucha Ranieri au Porto ya Mou.
Kaa ujue hakuna kocha ambae hajengi team coz kila kocha ana hitaj lake


Barca ya pep inasemekana ndo team bora ya mda wote


ni kwel iniesta xavi messi na hata busquet wapo njema ila pep aliwafanya waonekane world class players kama ambavyo inayokea kwa KDB sterling na silva this time




Bayern ya pep ndo team pekee iliyoshinda game 19 consecutive kuliko team yoyote kwe ligi 5 bora duniani n amebakiza game 2 kwa city kuvunja record yake kama atashinda hizo game




Barca ya Pep ndo barca pekee iloshinda game 18 consecutive kwenye la liga



Barca ile ndo team pekee duniani yenye vikombe 11 kwa miaka 2




City ya pep imetangaza ubingwa mapema kilichobak ni kuweka na kuvunja record



n amin usiamin city kwa mech alizofika now ni record bora kabisa kwa Epl



na hata akifungwa still ni record



haya shabik kitumbua mshukuru mungu upo kwenye generation ya kocha bora kabisa
 
Hii ni comment bora kabisa kabisa kwa hii mada ya kipuuzi ivi wewe mleya uzi umeanza kushabikia soka lini nazani 2014 maana furgeson enzi izo anafanya yake watu kama guardola and the rest wakiwa hawjulikani na wala hakuna anaye wafikirie je unawezaje kupima mafanikio ya miaka 25 na miaka 9 je umetumia kigezo gani kutoa hii hoja yako
.
Tufahamisha ili tuweze kuelewa kigezo ulichotumia ili upewe data za kutosha

Kama kigezo ni idadi ya ligi tofauti alizofundisha basi wewe si mfatiliaji wa mpira reffer mournho ancellot na wengine Bt nazani mournho anaweza kuwa ndo kufundisha ligi nyingi tofauti zaidi ya wengine

Kama kigezo ni kuchaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi basi kabisa ndo unatakiwa kufuatilia vitu kwa undani na sio kukurupuka watu kama sir fargie, wenger, mournho, rijkaard, ancelott na wengine wengi ni vitu walishafanya sana

Kama kigezo ni kuchaguliwa kuwa kocha bora wa msimu hapo hujui ulichokiandika kuna watu wakishughulia izo misimu 2 frequently

Na kama ni kutengeneza kikosi bora na hatari katika ulimwengu wa soka hapo ndo husirudie kuandika upupu kama huu reffer kikosi cha Asernal 2002-2003 kikosi cha real madrid 2000-2005 kikosi cha man u 1998-2002 kikosi cha Ac milan 2003-2006 ivyo ni baadhi ya vikosi bora kabisa kuwahi kuwepo ulimwenguni chini ya makocha tofauti

Kama kigezo ni kucheza michezo ishirini katika msimu mmoja bila kufungwa basi ndo umeingia cha kike kuna watu washa approach mpaka gemu 49[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kufungwa

Kama kigezo ni idadi ya makombe aliyochukua basi umejidanganya maana kuna watu wamebeba makombe ambayo idadi yake ni sawa na umri wa pep mara 5[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3]

Na kama kigezo ni uzoefu basi Ur ar looser maana kuna watu wana uzoefu knye iyo tasnia mara 5 ya uzoefu wa pep
.
Kama ni uwezo wa kikosi chake kufunga magori si kweli kuna vikosi vishawahi kupiga watu 7,8,9,10 na kuendelea

Yako mengi sana lakini kwa hayo machache Em nipe msingi wa hoja yako hii mfu ni upi?
kwanza hivo vikos hakuna kilicho sawa na barca ya pep hata ukimuuliza mtoto



Fergie ni legendary ila so bora kwa pep


n unavotoa hoja kwa hasira hizi angalia unakua unaropoka tu ni kila mtu akitumia hasira bass wengine tutakua tunatafta ban za bure
 
Average trainer anawakibiza matrainer wakubwa kama Mournho how come Dude?.
Mkuu umeniquote vibaya sijamtaja Mou kama trainer mkubwa...but naimani Pep ni kocha bora lila sio wa muda wote, na hawezi kuwa kocha bora wa mda wote...labda atwae champions league na city
 
Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.

Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca

Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa

Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule

Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Huna mashiko Man...
Kwa taarifa yako "Robotatu ya dunia ni maji kias kinachobaki ni Pep"
 
U were right
Screenshot_2021-05-12-17-03-54.jpeg
 
Back
Top Bottom