RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Mkuu acha chuki na Pep.Pep kaondoa Man city zaidi ya wachezaji 10 waliokuwa wanaanza then kaleta wachezaji anaowahitaji yeye then unasema Pep si chochote?.City tayari ilikua "in the room" Pep hajaikuta city mkiani. Tayari ilikua in the build up process na ilikua inaenda sawia so far, kumbuka ni miaka kadhaa tu nyuma city ilibeba EPL, Pep kaja kuendeleza tu na kuongeza palipokuwep. Sio sawa na Ranieri au Klopp Dortmund
Tatizo Wengi wenu mnasahau volatility ya EPL, mnaishia kumpa Pep sifa. EPL timu kuwa tishio msimu mmoja na next season kuwa si lolote ni jambo la kawaida. Mwaka juzi ilikua Leicester Leo hii ipo wapi, mwaka jana Chelsea sasa nani anaeiogopa Chelsea, mwaka huu City, mwakani amini nawaambia city itakua uchochoro. Sijui what is the fuss all about kuhusu hii city ukiangalia na tabia ya EPL.
So, hata sasa sioni cha ajabu ambacho Pep kafanya ni kawaida ya EPL na city kama Barca au Bayern aliikuta in the process.
UEFA asahau. Ni aibu kuiweka City na UEFA kwenye sentence moja
Pep kaikuta Man city ikiwa yakawaida na sio useme bora,Pep kaikuta Man city inacheza mpira ambao haueleweki,leo hii kaleta aina ya mpira wake ambao mlisema EPL hauwezi kufua dafu lkn anawakimbiza.
Pep kakuza majina ya wachezaji wa Man city,hakuna hata mchezaji mmoja wa Man city alienunuliwa zaidi ya yuro 60Million but leo nenda kawaguse wakina KDB,Fernadinho,Gabrie,Hudogan,Sterling huyu alietaka kuuzwa na kuongezewa na pesa ili amchukue Sanchez.
Unasema Klop kocha bora,kocha bora ambae ameperform Bundasiliga lkn EPL mwka wa tatu huu akiendelea kujenga timu a ha ha ha.
Tatizo sio useme R city,Chelsea walikuwa kwenye form,walikuwa kwenye form huku ndio Chelsea akichukua ubingwa kwa tofauti ya point saba.R city sikumbuki vzr,Na uhakika M city itachukua ubingwa kwa zaidi ya point 20 na atatangaza ubingwa itakapofiia mwezi wa pili.
Kuhusu Man city kuchukua Uefa hilo anaweza akachukua au asichukue maana Uefa nje ya kuwa na kikosi bora lkn bahati pia hutawala.Kwahiyo mie binafsi naweza kukuambia Man utd anaweza chukua uefa ingawa ana kikosi kibovu sana ukilinganasha na Chelsea,Tot,Liver,Man city ila kwa sababu ya bahati anaweza.
Mwisho Man city atawachukua ubingwa mara tatu mfulululizo kama Pep ataendelea kukaa hapo.
Pep Man city hakuna mchezaji hata mmoja aliemchukua kwa Euro 65Million lkn tumeona kwenye vikosi vyenu.
Pep mnachuki nae lkn kaja kuwaonyesha ligi ya EPL niligi ambayo haina ushindani maana tofauti ya point 15 hakuna ligi nyingine mpaka sasa imetokea tofauti ya point hizo nje ya ligi yenu bora ya EPL.
Mwisho Mou atafukuzwa tena Man u,sio kwa sababu hajui bali kwa sababu kuna kocha kamzid uwezo kaja kumpiga.
Cha kufurahisha Pep ana miaka 9 tu katika ukocha wake lkn nizaid ya vibabu vilivyokaa miaka 20 kwenye okocha.
Narudia UEFA haina mwenyewe ndio mana Mou anaelekea kufikisha miaka 10 bila uefa,lkn Zizou anazo 2.
Kama unamtoa City uefa basi pia kumbuka hakuna timu ya EPL yenye uwezo wa kuchukua Uefa.
Msiempenda Pep kaja kwenye ligi yenu yunahitaji mumpe tena mtihani mwingine,maana ule wa mpira wa Tiktaka kufua dafu EPL tumeshapata majibu yake.Toeni tena mtihani mwingine kiongozi.