Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

Watu wana wivu tu wakiwemo FA kama pesa hata Man U Chelsea wote big spenders. Nimeona sehemu watu wanaomba Pep abebe UEFA awaachie ligi yao. Pep mwenyewe kasema bado yupo pale City ataendelea kuwanyoosha kwa kubeba back to back EPL.
Siyo wivu Man City wamevunja sheria za FFP huku kocha wao Pep akilalamika kuwa hakujua kama City nyuma ya pazia wanafanya mambo kwa kuvunja sheria. Wakikutwa na hatia, rungu zito sana litawapiga: kushushwa daraja au kuvuliwa ubingwa miaka yote waliyovunja sheria za FFP.
 
Alisajili wachezaji 13

1. Mario Gotze - €37 million

2. Thiago Alcantara - €25 million

3. Juan Bernat - €10 million

4. Pepe Reina - €3 million

5. Medhi Benatia - €28 million

6. Xabi Alonso - €9 million

7. Sinan Kurt - €3 million

8. Douglas Costa - €30 million

9. Sven Ulreich - €3.5 million

10. Joshua Kimmich - €8.5 million

11. Arturo Vidal - €37.5 million

12. Kingsley Coman - €7 million

13. Serdar Tasci - €2.5 million


Kwa wachezaji hawa alikaa misimu mitatu 2013 Hadi 2016 akachukua vikombe almost vyote Bundesliga na Uefa alikuwa anatokea hatua za mtoano.




Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nilichoona humu watu wamejificha kwenye kichaka cha Champions League. Kama issue ni pesa Chelsea kaspend millions lakini cheki wanavyohangaika. Pep apewe maua yake.
Wanajichanganya maana kama ni cl don carlo kachukua mfululizo lakn bado wanasema mbona hakuchukua na everton sasa kocha bora ni yupi
 
We ni mjinga Ole Sosha alikuwa Top spender zaidi ya Gurdiola na Manchester haikuwahi kubeba lolote chini yake.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sasa kwa nini unaniita mjinga tena mkuu?

Amekuwa man City misimu saba ndio anakaribia kuchukua ucl, angekuwa chelsea kipindi cha Abramovich asingekaa mda wote huo.

Bayern amepndoka bila UCL, angalia na linganisha rekodi yake na Carlo.
 
Bruh bajeti ya man u man city hazipishani sana
 
Sasa kwa nini unaniita mjinga tena mkuu?

Amekuwa man City misimu saba ndio anakaribia kuchukua ucl, angekuwa chelsea kipindi cha Abramovich asingekaa mda wote huo.

Bayern amepndoka bila UCL, angalia na linganisha rekodi yake na Carlo.
Acha kumlinganisha Gurdiola na wapuuzi.

Ndani ya misimu Saba pale EPL kabeba mitano na miwili kaishika nafasi ya 2 na tatu. Hawajawahi kushika nafasi ya 4 hapo EPL huoni kama Hilo ni Jini!!!

Hiyo kuchukua Uefa ameshafanya hivyo Sana na Barca. Kwa umri wake ana kama miaka kingine 20 mbele atavunja record zote unazozijua za makocha wote unaowajua wewe. Ameikuta Manchester city ina vikombe vi5 vya EPL Leo ina vikombe 10 ndani ya misimu 7. Bado vikombe 10 afkie rokodi ya Manchester United mwenye vikombe 20 na bado vikombe 9 afikie vikombe 19 vya Liverpool.

Kama wewe huoni Gurdiola ni habari nyingine basi utakuwa na kichaa!


Kuhusu Budget nakubali lakini bajeti kubwa sio kila kitu. Tottenham anaspend hela nyingi Ila haifanyi lolote. PSG ni among top spender Ulaya Ila hafanyi lolote.

Manchester United ni among top spenders pale Ulaya Ila tangu mwaka astaafu Ferguson timu haina mbele walA nyuma


Al Nasry Ile timu ya Christiano Ronaldo ni among top spenders pale Saud Arabia Ila nenda kaangalie msimamo WA ligi Yao uone wanashika nafasi ya ngapi.


Nasema tena Acha kumlinganisha Gurdiola na wapuuzi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1783]. Umesahau Messi ,inesta na shavi ,Leo hayupo nao imegeukiwa pesa lakini mbinu hawatamki
 
Amekaa misimu saba pale man City ndio anainusa CL, hype kubwa tu mnampa ila kwa budget anayopewa hana uspesho kivile.
Na hata mwaka huu 2023 kabahatika kukutana na timu vimeo zilizojichokea ndiyomaana kawin, sidhani ile Bayern Munich ingekuwa na Thomas Tuchel kwa zaidi ya miezi mitatu nyuma angeifunga kizembe vile.

Ni basi tu Kocha TT kakabidhiwa timu na hakukaa nayo hata zaidi ya siku 11 kakutana na Man City, ni muda mchache sana Kocha mpya kueleweka kwa Wachezaji;

Attitudes.

Techniques.

Tactics.

Formations.

Winning mentalities

Philosophies.

So Pep aliokota embe dodo mchangani (URAHISI).

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yaleyale ,akiwa Barca ,wachezaji wamelelewa pamoja kwenye akadem
 
Binafs morinyo nu conservative Sana,anafundisha mpira wa kizamani (too defensive) na hayuko flexible kubadilika kimbinu

Timu zote anazofundisha morinyo huwa hazishambulii KABISA,huambulia magoli kiduchu sana
Ila makombe ananyakua kama aliyatengeneza yeye duuuh [emoji849]

Kweli unafki ni tabia halisi ya Binadamu [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi kabisa mkuu, Pep is overrated!
 
Kwakuongezea ,wakati anaingia man city ,alisema wazi misimu miwili ya mwanzo anakazi ya kusuka kikosi na sio kubeba ndoo

Na ndivo ilivokua ,kuazia msimu watatu hadileo Kila mwenye mdomo anaongea lake
 
Binafs morinyo nu conservative Sana,anafundisha mpira wa kizamani (too defensive) na hayuko flexible kubadilika kimbinu

Timu zote anazofundisha morinyo huwa hazishambulii KABISA,huambulia magoli kiduchu sana
Huo mpira wa kizamani ndiyo ulevi wetu sisi wengine sasa, usitupangie aina ya mpira wa kushabikia.

Kwanza pira lenu hili la kisasa limeua vipaji vingi sana vya Wachezaji.

Kweli dunia ya leo ni ya kutafuta mshambuliaji no 9 kwa tochi?

Pira lenu wewe na Pep ni la kishamba sana, Watu tunakosa ladha ya magoli ya mbali kama ya akina S.Gerard, F. Lampard, Didie Drogba, Michael Ballack [emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Pep alishinda treble bila ya hata ya wote hao uliowataja, hao walikuja baada ya mafanikio. Pep alimsijaili Alvaes tu katika msimu wa kwanza. ambao alishinda treble. hao uliowataja walikuja miaka ya mbele.

na kwa kukusaidia tu, Zlatan, Fabregas nao waliletwa na Pep
 
Wanajichanganya maana kama ni cl don carlo kachukua mfululizo lakn bado wanasema mbona hakuchukua na everton sasa kocha bora ni yupi

wanaleta hoja kuwa Carlo hakuchukua kikombe Everton ambayo amekaa msimu mmoja na nusu, wakati PEP ana mwaka wa 7 City bado anatafuta Champion league yake ya kwanza 😂 😂 😂
 
Kweli kabisaa.bila budget huyu jamaa wa kawaida.wachezaji wana mbeba sana.mtu bench tu ni billion squad.
 
[ Mkuu hatukatai Man City ya Mancini na Pellegrin ilikua moto kabla ya Ujio wa Pep lakini ilikua haijadominate kiasi cha kushinda back to back tittles.

Ujio wa Pep City umeifanya EPL farmers league. Ameweka standard kubwa kiasi ya kwamba ili ushinde taji la EPL inabidi umalize juu ya City. Liver mwaka juzi kapoteza mechi moja tu lakini hakua bingwa unaweza ukaona hii yote Pep's masterclass na sio pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…