Acha kumlinganisha Gurdiola na wapuuzi.
Ndani ya misimu Saba pale EPL kabeba mitano na miwili kaishika nafasi ya 2 na tatu. Hawajawahi kushika nafasi ya 4 hapo EPL huoni kama Hilo ni Jini!!!
Hiyo kuchukua Uefa ameshafanya hivyo Sana na Barca. Kwa umri wake ana kama miaka kingine 20 mbele atavunja record zote unazozijua za makocha wote unaowajua wewe. Ameikuta Manchester city ina vikombe vi5 vya EPL Leo ina vikombe 10 ndani ya misimu 7. Bado vikombe 10 afkie rokodi ya Manchester United mwenye vikombe 20 na bado vikombe 9 afikie vikombe 19 vya Liverpool.
Kama wewe huoni Gurdiola ni habari nyingine basi utakuwa na kichaa!
Kuhusu Budget nakubali lakini bajeti kubwa sio kila kitu. Tottenham anaspend hela nyingi Ila haifanyi lolote. PSG ni among top spender Ulaya Ila hafanyi lolote.
Manchester United ni among top spenders pale Ulaya Ila tangu mwaka astaafu Ferguson timu haina mbele walA nyuma
Al Nasry Ile timu ya Christiano Ronaldo ni among top spenders pale Saud Arabia Ila nenda kaangalie msimamo WA ligi Yao uone wanashika nafasi ya ngapi.
Nasema tena Acha kumlinganisha Gurdiola na wapuuzi
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app