Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

That dnt make sense ata yeye mourinho wakati yupo porto anaitoa man utd alikwa na budget just 10% ya man utd. But alivyofika chelsea mbona alikuwa na bench hatari sana. Nature ya industry ilibyo ni kwamba ukiwa mzuri utaenda kwenye club zenye uwezo mkubwa kifedha.

But remember one thing, though money can procure the best players in the world, it certainly can not forge the work ethic, tactical nous and passion for the game that pep has demonstrated many a years.
 
Watu wanadharau sana kazi ya pep. Ni hatari yaani timu zake zinapiga ball mpaka mwili unasisimuka.
 
😄😄 mko wachache mnaoangalia uhalisia ni si ushabiki tu
Ubora wa Pep unajulikana lakini huwezi kusema yeye ndiyo bora zaidi ya wote. Pep anapata uwekezaji ambao makocha wengine hawapati (na hii ndiyo akili anayotumia, hasaini mkataba mpaka ahakikishiwe mzigo upo). Wanachofanya City ni kama PSG kule France. EPL top 6 clubs ukitoa City hazina investment kama ya City. Timu kama Arsenal au Spurs unategemea itafanya nini kum-challenge City. Klopp angepata pesa kama ya City angefanya kama Pep tu.
 
Paragraph ya mwisho umemaliza kila kitu. Pep ni kocha bora lakini siyo zaidi ya wote.
 
Kwanini hao wengine hawapewi na kwanini apewe Pep
Hapo sasa ni mambo ya timu na wamiliki wake namna zinavyojiendesha. Mfano United wanatumia pesa za mapato ya timu kwenye usajili wakati City kwenye project ya Pep walifanya investment.
 
Ni kocha pekee anaefundisha kitu kikaonekana
 
Mpe wewe kwenye PS5

Ukweli tuukubari tu city aliyoikuta pep kaondoa wachezaji wangapi?

Yaya, kun,sagna,otamend,demikelis,Nasri,Frenandhinho,frenando, sane,
Hao wote walikuwa wanaanza
Baada ya muda gani? Kun alikuwa moto pale! Kun yupi labda?

Hakuna aliyekuwa mbaya kihiivyo hapo, Nasri anaenda City tayari keshapwaya Arsenal, Barca.

Amekaa miaka mingapi useme kuwa wachezaji walioanza kuzeeke angeendelea nao?

Yaya, bonge la mid, bifu la Pep na ngozi nyeusi likam-cost Yaya! Hujui hilo?

KDB, hakuwa kitu wakati anakuwa, amekomaa, unaona matunda yake, na mwisho atazeeka, ataanzia benchi au kuachwa kabisa.

Wakati Pep anaingia City, taja kikosi alichokikuta, kakitumia muda gani na kilikuwa na hali gani?
 
Alipo kuja Chelsea yenye pesa aliipa iyo UEFA?

KWAIYO DIMATEO KUIPA UEFA CHELSEA NI BORA?
Si aliipatia makombe ya EPL, FA na Caring cup?

Hakuchukua UEFA CHAMPIONS LEAGUE akiwa na Intermilan FC ambayo zaidi ya miaka 35 haikuwahi kubeba hilo kombe?

Nakukumbusha Mourinho ndiye sababu ya Kipara kuondoka Barcelona baada ya kunyang'anywa kombe la La Liga na kutolewa na Real Madrid kwenye kombe la Mfalme kwa wiki 1 pekee.

Head to head Mourinho anaongoza kumtandika Pep kipara kwenye mtoano.

Pep bila pesa ni Harry Potter aliyechangamka...[emoji38]
 
Mahaba niue wa Mume wao Kipara hawatakujibu hili jiwe ulilowapiga nalo [emoji28]
 
Kabla yake Tot ilifika fainali UCL yeye Mou kaifanyia ninI Tot?
Si bora hata akina Mourinho walikuwa wanafundisha klabu zilizokuwa kwenye top four, sasa hilo tulatula lenu linaogopa nini kutofundisha klabu ambayo haijabeba ubingwa wa ligi kuu kama si kuangushia tu kwenye mserereko wa URAHISI? [emoji2]
 
Kwa hio Porto ni timu ndogo?
We Pimbi fatilia uwepo wa Porto FC miaka ya 2002 ikiwa inacheza fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE na Man Utd ilikuwa ina Wachezaji gani kiubora na hata malipo ya mishahara yao kisha urudi kunishukuru kukupatia maarifa usiyoyajua ila unakaza tu fuvu lako sababu ya mahaba niue kwa Kiparangoto wako huyo [emoji1787]
 
Swali unafikiri Mourinho ukimpa Hulk City anaweza shinda EPL au Espanyol anaweza shinda La Liga?. Huyo Mou kaenda Tot kafurushwa. Anaweza shinda EPL na Crystal Palace?
Kwani alipokuwa 2002 na Porto FC ilikuwa na ukubwa gani hadi kabeba nayo UEFA CHAMPIONS LEAGUE mbele ya timu kubwa Man Utd? Tuanzie hapo kwanza.
 
Nasri alicheza Barca?
 
Huna point mdada
 
Si bora hata akina Mourinho walikuwa wanafundisha klabu zilizokuwa kwenye top four, sasa hilo tulatula lenu linaogopa nini kutofundisha klabu ambayo haijabeba ubingwa wa ligi kuu kama si kuangushia tu kwenye mserereko wa URAHISI? [emoji2]
City ilikuwa na ukubwa upi wa kuinyanyasa Madrid? Wakati wapo kina Mancini na pelegrin?

Pep katengeneza system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…