That dnt make sense ata yeye mourinho wakati yupo porto anaitoa man utd alikwa na budget just 10% ya man utd. But alivyofika chelsea mbona alikuwa na bench hatari sana. Nature ya industry ilibyo ni kwamba ukiwa mzuri utaenda kwenye club zenye uwezo mkubwa kifedha.Budget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
But remember one thing, though money can procure the best players in the world, it certainly can not forge the work ethic, tactical nous and passion for the game that pep has demonstrated many a years.