Wamefanya hivyo enzi zao, wamezeeka sasa!Ancelloti/Mourinho/Fergie wakipewa Southampton kwa bajeti kiduchu kama hii walionayo na wakapewa muda wanaweza beba kikombe cha EPL?
Swali liwe, Pep ataweza? Ndio zama zake hizi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefanya hivyo enzi zao, wamezeeka sasa!Ancelloti/Mourinho/Fergie wakipewa Southampton kwa bajeti kiduchu kama hii walionayo na wakapewa muda wanaweza beba kikombe cha EPL?
100% you are correct [emoji736]Huyo ni manager wa Billion Pound Squad, kuchukua kombe na Leicester kama Ranieri, Blackburn kama Dalgish, Valencia kama Benitez, Arbedeen kama Ferguson, Porto kama Mourinho hawezi na hawezi hata kujaribu.
Mchezaji yupi UK kasajiliwa kwa mkataba wa zaidi ya miaka 8?chelsea ana bench la shi ngap?
Fifa club world cup alibeba akiwa na klabu zipi na miaka gani?Baada ya Arsenal kuchezea kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya Nottingham forest ni rasmi ubingwa wa ligi kuu uingereza msimu wa 2022/2023 unakwenda kwa manchester city ambaye anajumla ya point 85 huku anaemfuata Arsenal akiwa na point 81 na amebakiwa na mchezo mmoja mkononi ili kumaliza ligi wakati man city yeye akibakiza michezo miwili.
Ubingwa huu aliochukuwa man city chini ya kocha Pep Guardiola utakuwa ni ubingwa wao wa tatu mfululizo kuchukua chini na Kocha Pep Guardiola akifanya ivyo msimu wa 2019/2020, 2021/2022, 2022/ 2023 Wakati huo huo man city bado yupo kwenye mbio za kugombania makombe mengine fainali kombe la FA Ambayo atamenyana na Manchester United, fainali ya Uefa champion league dhidi ya Inter Milan, Kiufupi Guardiola ameshindikanika.
Licha ya makombe anayozidi kuyakusanya katika club mbalimbali pia guardiola ni kocha anayesifika kwa kufundisha mpira unaovutia kwa watazamaji mpira wa pasi nyingi, ikumbuke ile Barcelona ya akina Iniesta, Xavi na Lionel Messi, ilikuwa ni hatari mpaka Furgeson anatetemeka mikono [emoji1787][emoji1787]. Kumbuka jinsi alivyoweza kuibadilisha Beyern Munich kutoka kwenye piga tukimbizane mpaka mpira wa pasi nyingi.
Haya ni baadhi ya makombe makubwa aliyowahi kuyachukua Mtaalam Pep Guardiola.
1. Uefa champion league..... ×2
2. Uefa Supercup....×3
3. Spanish (Laliga)......×3
4. England premier league.......×5
5. Bundersliga..........×3
6. Fifa club world cup......×3
View attachment 2629308
ivi swali nililo uliza na ulicho andika mbona ni IPPMchezaji yupi UK kasajiliwa kwa mkataba wa zaidi ya miaka 8?
Au huwa unakurupuka tu kuchambua mpira kama unavyochambuaga mboga?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Pep hawezi kama walivyo Makocha wengine pia. Mpira ni uwekezaji huwezi kubeba ubingwa kwa kushindana na timu zenye budget kubwa ndio maana kila siku timu zenye mfuko uliotuna ndizo zinadominate.
Kwa maana hio kama unamuita Pep si kocha bora sababu ni billion pound coach na anafundisha timu kubwa tu nikakuuliza Ancelloti/Mourinho/Fergie ukawapa Crystal palace wanaweza ipa ubingwa?
Uyo morinyo akae kimya TU mpira ushamshinda,yeye mbona pia kafundisha club kubwa zenye bajeti kubwa ila kimafanikio hamfikii pep hata nusuBudget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
Alipiga chini kwa sababu alitaka kuweka mfumo wake, huwezi sema alikuta timu mbovu.Unajua ni wachezaji wangapi aliwapiga chini baada ya Rijkaard kuondoka Barça ili asuke kikosi chake?
Kuna ile miaka ronaldo Yuko r.madrid, anceloti Alikua anabeba makombe Kama Hana akiliMbona mwaka jana hukuandika kwa Ancelotti
Kila kocha huwa na msimu wake tu mmoja au miwili
Kwenue European stage, Pep ana UCL ngapi ukilinganisha na Mourinho?Uyo morinyo akae kimya TU mpira ushamshinda,yeye mbona pia kafundisha club kubwa zenye bajeti kubwa ila kimafanikio hamfikii pep hata nusu
Mou mtoe kwenye hii orodha, alishadhihirisha mara nyingi hata kwa bajeti ya kawaida anaweza kupata vikombe.Kwa hiyo unataka kuniambia Ancelloti/Mourinho/Fergie wakipewa Southampton kwa bajeti kiduchu kama hii walionayo na wakapewa muda wanaweza beba kikombe cha EPL?
Naunga mkono hoja[emoji4]Ancelloti alipokuwa Everton alikuwa anapigwa na Guardiola nje ndani, sema jamaa aliweza fanya Everton kuwa katimu ka ushindani ila mfumo wa Carlo ule ni WA darasani, ila wa Pep sio wa darasani, ile ni alien level .
Nimekutafunia jibu kuwa pesa za Chelsea FC zimezingatia FFP ndiyomaana husikii akihusishwa na malalamiko wala mashtaka yoyote maana asilimia kubwa ya Wachezaji waliosajiliwa wamepewa mikataba mirefu sana.ivi swali nililo uliza na ulicho andika mbona ni IPP
Hebu kua serious Basi[emoji15]Mpaka sasa tangu msimu huu uanze hajawahi kupata tuzo ya kocha bora wa mwezi hebu imagine. Waingereza wana roho mbaya sana
Tangu fergi amestaafu mbona man UTD imetumia mabilioni kibao ila hamna kitu[emoji4]Huyo ni manager wa Billion Pound Squad, kuchukua kombe na Leicester kama Ranieri, Blackburn kama Dalgish, Valencia kama Benitez, Arbedeen kama Ferguson, Porto kama Mourinho hawezi na hawezi hata kujaribu.
Nakazia,Watu waache wivu bhanaUmewahi kupitia budget ya PSG mbona hawana lolote la maana kwenye mashindano ya kimataifa ?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Amekaa misimu saba pale man City ndio anainusa CL, hype kubwa tu mnampa ila kwa budget anayopewa hana uspesho kivile.Kuwa kocha bora haina maana upewe timu yoyote ile
Pep kajitahidi sana kwa bajeti anayopewa kupata wachezaji sahh
Kuna kocha mmoja katumia 100mill kwa kibaka mmoja asiye na msaada kwenye timu 🍻