Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

Huyu atakuwa hajui mpira kabisaaaaa...wee mtu alitenegeneza timu inapiga mpira mpaka kibabu fergei anatetema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kachukua E.P.L Back to Back unamuita kocha mmbovu !!!


Hebu taja makocha waliowahi kuchukua E.P.L Back to Back tangia ilipobadilishwa mfumo wake miaka ya 90..... Mi naanza na mou na Ferguson

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine una shindwa hata kushangaa yaani Pep sio best coach?[emoji1787][emoji1787]
 
naona unachanganya sasa, kwani Mou na Abramovic ni kitu kimoja?

Abramovic ndie lieletae mageuzi Chelsea na sio Mourinho
Abromovic alileta mapinduzi wa kifedha mourinhol kaketa mapinduzi ya football
Pesa haichezi mpila kaka
 
Abromovic alileta mapinduzi wa kifedha mourinhol kaketa mapinduzi ya football
Pesa haichezi mpila kaka

Achu mawazo finyu kaka, Msimu wa mwanzo wa Chelsea chini ya Abramovic ilishika nafasi ya pili PL na Champion League Semi Final. Hiyo ndio impact ya Abramonvic hapo hata huyo Mou hakuwepo. Hayo mataji yangekuja tu hata kama Mou asingekuja.
 
Kusema ukweli Pep akipigikaga huwa naenjoy sana kwenye nafsi yangu.

Sijui ndio chuki zangu tu binafsi dhidi yake.😀

Watu wengi wanamchukia pep kisa samuel etoo ...eti pep mbaguzi 🤣🤣🤣🤣🤣
Kocha ana haki ya kuchagua wachezaji anaotaka kufanya nao kazi period.
 
mwanaspotiapp Uzi wako umeharibu kwa kusema before ya Mourinho Chelsea ilikuwa Kama burnley.Kingine kinachonisikitisha ulivyosema Guardiola akifundisha Chelsea itashuka daraja kwani Chelsea ina timu mbaya? au ukumbuki vizuri Liverpool ilipaki kibus kipindi Cha pili dhidi ya hii Chelsea.kiufupi umeandika uzi wako kimihemko na ushabiki wa kipuuzi usiojua soka.
 
Burnley inashiriki UEFA? Tuanzie halo kwanza
Kushiriki UEFA sio kipimo mkuu kumbuka Leiceister kashaenda tena akiwa bingwa Nothengham forest alibeba kabisa huko UEFA mpaka vitimu vibovu vibovu vinaendaga vikiamka na bahati... kipimo cha ubora wa timu ni dominance ,fan base, history mataji na brand EPL timu kubwa ni Liverpool ,Manchester United,Arsenal respectively.
 
Potelea mbali ila hoja yangu ya msingi natumaini umeipata Guadiola ni kocha wa kawaida sana
 
Watu wengi wanamchukia pep kisa samuel etoo ...eti pep mbaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kocha ana haki ya kuchagua wachezaji anaotaka kufanya nao kazi period.
Tungemchukia hata ferguson ambae alisema wazi kua hapendi kufanya kazi na waafrica
Sio etoo wala yaya toure bali ni uhalisia Pep ni wa kawaidaa sanaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…