Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

Wewe mwenye hoja, mwambie Pep arudi akaisuke upya Barca ndio utajua kama yeye ni kocha ama anajificha kwenye utajiri wa club
Ni kocha yupi ambae unajua ni bora akirudi timu yake ya awali una uhakika atapata mafinikio kama awali?
 
Baada ya kuondoka barca tuambie lin pep kafany cha maaana UEFA ?
Hajafanya chochote cha maana though kafundisha Bayern yenye wachezaji lukuki wenye vipaji vikubwa,kuna harufu naihisi hapa kuwa kweli mafanikio ya Pep yalichagizwa na kikosi bora kilichoongozwa na utatu mtakatifu Messi,Iniesta na Xavi
 
ndio yamkumfanya kuwa kocha bora? Hata Maurinho si anayo mawili, Zidane matatu na Ancelotti matatu
Kiujumla ndugu kuanzia ligi , uefa na mengine pep anayo mengi zaidi. Kwa hiyo ni kocha bora zaidi ya hao akina klop, mo, zidane, ancelotti n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…