Ukishakuwa bora tu, wenye pesa watakutafuta. Hivi ulitegemea kwa kiwango kile cha samatta aende kucheza simba au yanga??
Kwa kiwango cha Pep hata akitoka happ City, basi kuna timu kubwa zitaweka mzigo wa maana mezani kama PSG, Juve, Barca, Man utd, Bayern, Spain national team n.k
Hata huyu huyo nuno usitegemee kwa kiwango alichonacho ataenda timu ya kawaida baada ya hapo
Swalk la kujiuliza kwa nn timu kubwa na zenye pesa zinamuhitaji sana PEP? Kwa nn isiwe kwa makocha wengine?
We unahisi timu kama PSG au Madrid watamuhitaji david moyes??