Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

Baada ya kuondoka barca tuambie lin pep kafany cha maaana UEFA ?
Kuwa kocha bora haimaanishi kocha atafanya makubwa uefa akiwa na kila timu na kila msimu. Kocha ni kama mchezaji tu, yaani kuna kushuka na kupanda. Ronaldo de lima, thierry henry wanatambulika kama mastriker bora kuwahi kutokea lakini si kila timu waliochezea walifanya makubwa.
 
Kocha sio kama mchezaji wewe,,,ndio maana timu inapo puyanga anafkuzwa kocha sio wachezaji

Pep guadiola ni kocha wa kawaida sanaaaa

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Kocha sio kama mchezaji wewe,,,ndio maana timu inapo puyanga anafkuzwa kocha sio wachezaji

Pep guadiola ni kocha wa kawaida sanaaaa

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Naona hujaelewa. Narudia tena hakuna kocha aliyepata au atapata mafanikio makubwa na kila timu na kila msimu , hayupo. Sasa kama hayupo kwa hiyo dunia haina makocha bora? Msimamo wako wa kutomkubali Pep siwezi kuubadilisha endelea kuamini hivyo ila wanaojua kabumbu wanamkubali
 
Toka 2013 hajanyanyua UEFA Champions league halafu unataka kutuongopea mchana kweupeeeeeeeeeeeee.
Kama hela kapewa pesa kuliko kocha mwingine duniani na kashindwa kunyanyua UCL. Bado unataka ubishi tu?
 
Itoshe kusema
Pepsi ni kocha wa kawaidaaa mnoooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…