Kuwa kocha bora haimaanishi kocha atafanya makubwa uefa akiwa na kila timu na kila msimu. Kocha ni kama mchezaji tu, yaani kuna kushuka na kupanda. Ronaldo de lima, thierry henry wanatambulika kama mastriker bora kuwahi kutokea lakini si kila timu waliochezea walifanya makubwa.Baada ya kuondoka barca tuambie lin pep kafany cha maaana UEFA ?