Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

Sema mzee pep bado kocha wa kiwango cha kawaida?
 
Aibu tupu [emoji23][emoji23][emoji23] hawezi tena kujibu
Hajui mpira huyu bwana ndio wale wachambhzi uchwara tuu....they dont even understand the theory ya mchezo wenyewe.

There are two types of coaches....makocha ambao wanashinda mataji mengi na kuna the next level of coaches ambayo unakutana na watu kama wakina pep, bielsa, sacchi.
The later ni revolutionaries....wanakufanya uufikirie mchezo kwa namna tofauti kabisa. The thot process yao sio tuu kushinda mechi na kuishi kuimba pira biriani au pira mpapaso hawa wanaangalia namna gani nitabadilisha tactics.

Mie nasemaga ukitaka kujua pep nyoko angalia mechi hizi tatu.

Club world cup final. Barcelona vs santos.

Man utd vs barcelona...babu fergie anatetema.

Man city vs napoli...champions league. Ile buildup play yake dhidi ya ultra offwnsive pressing ya napoli ikiwa cbini ya bwana sarri.
 
Kitu kizuri uwa akijifichi,kinaoneka mubashara kabisa.
Hajui mpira huyo. Ata fundamental theory za mchezo wenyewe hajui anabwabwaja tuu.

Huyu ndio wale oh ata mie ningepewa barcelona ile ya kina xavi iniesta messi ningeshinda mataji.

Ndio ungeshinda mataji lakini je ungecheza mpira ule uliokuwa unawekwa on display game after game.
 
Keshajijua kama ajui.
 
Hapa wanasubiri pep afungwe waje kutema shombo zao.... Ni chuki binafsi tu
 
Mleta uzi na wengine wasio jua soka walienda mbali na kusema kocha wa wolves ni bora kuliko Pep. Sasa mashabiki kama hawa si bora washabikie rede tu.
 
Pole
 
Pepsi kwenye ubora wake wa ukanjanja na janja janja za ukocha ....

Pepsi ni kocha wa kawaiiiidaaaaa mnooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…