Hi hatersItoshe kusema
Pepsi ni kocha wa kawaidaaa mnoooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi hatersItoshe kusema
Pepsi ni kocha wa kawaidaaa mnoooooooo
#siopovu
Ninacho kiona sasa ni kwamba kipara makulega bwana Guadiola ni over hyped coach ni kocha ambae watu wana mchukulia kama 50 cent ila ki uhalisia ni 20 pasenti.
Kwa team aliyo nayo Guadiola pamoja hata na injury angekua kocha mwenye huu ubora anao imbwa alikua sio mtu wa kupoteza game nje ndani kwa zaidi ya timu 3 msimu mmoja anapigwa ye anapigwa tu! Home anapigwa away.
Makocha ote wanao jitambua wamempiga nje ndani na mechi ya liverpool anaenda kubondwa tena,
Huyo kocha kweli? ana beki ghali zaidi uwanjani ,anakiungo bora EPL team ina kila kitu ile!
Hata ile baki ya kina benjamin mendy sio mbovu kama watu wanavyo itafsiri ni ubovu tu wa mbinu za kocha .
Guadiola ni kanjanja tu mmoja sema mjanja mjanja ana bustiwa na nguvu ya pesa za timu anazofundisha.
Ukimuangali clopp kafundisha timu ndogo kabisa(Mainz) mpaka Dortimund wanamchukua alitikisa sana Bundes liga tena na timu yenye bajeti ya bilinganya kwenye usaji
Same kwa dortimund ila alisumbua na UEFA mpaka fainali.
Hata liverpool anabeba UEFA na sasa PL wachezaji wake ni wakawaida ila kocha amefanya kazi yake ipasavyo na inaonekana.
Leo umpe guadiola wolvermpton,chelsea,Arseanal au spurs anazishusha daraja kabisa
Ni kocha wa kawaida sana
Mourinyo kachukua UEFA na Fc Porto hakuna alie kua anatarajia kaja kuitambulisha chelsea ambayo ilikua kama burley tu!
Guadiola ni kocha wakiwango cha kawaida sana hajafika hata kwa Ostadh Nuno Espenito wa wolvermpton.
#epl
#champion
Aibu tupu [emoji23][emoji23][emoji23] hawezi tena kujibuSema mzee pep bado kocha wa kiwango cha kawaida?
Kitu kizuri uwa akijifichi,kinaoneka mubashara kabisa.Sema mzee pep bado kocha wa kiwango cha kawaida?
Hajui mpira huyu bwana ndio wale wachambhzi uchwara tuu....they dont even understand the theory ya mchezo wenyewe.Aibu tupu [emoji23][emoji23][emoji23] hawezi tena kujibu
Hajui mpira huyo. Ata fundamental theory za mchezo wenyewe hajui anabwabwaja tuu.Kitu kizuri uwa akijifichi,kinaoneka mubashara kabisa.
Keshajijua kama ajui.Hajui mpira huyo. Ata fundamental theory za mchezo wenyewe hajui anabwabwaja tuu.
Huyu ndio wale oh ata mie ningepewa barcelona ile ya kina xavi iniesta messi ningeshinda mataji.
Ndio ungeshinda mataji lakini je ungecheza mpira ule uliokuwa unawekwa on display game after game.
[emoji23][emoji23][emoji23] ajabu aibu naona mimiThread zingine hizi ni kujiaibisha tu
Pole#siopovu
Ninacho kiona sasa ni kwamba kipara makulega bwana Guadiola ni over hyped coach ni kocha ambae watu wana mchukulia kama 50 cent ila ki uhalisia ni 20 pasenti.
Kwa team aliyo nayo Guadiola pamoja hata na injury angekua kocha mwenye huu ubora anao imbwa alikua sio mtu wa kupoteza game nje ndani kwa zaidi ya timu 3 msimu mmoja anapigwa ye anapigwa tu! Home anapigwa away.
Makocha ote wanao jitambua wamempiga nje ndani na mechi ya liverpool anaenda kubondwa tena,
Huyo kocha kweli? ana beki ghali zaidi uwanjani ,anakiungo bora EPL team ina kila kitu ile!
Hata ile baki ya kina benjamin mendy sio mbovu kama watu wanavyo itafsiri ni ubovu tu wa mbinu za kocha .
Guadiola ni kanjanja tu mmoja sema mjanja mjanja ana bustiwa na nguvu ya pesa za timu anazofundisha.
Ukimuangali clopp kafundisha timu ndogo kabisa(Mainz) mpaka Dortimund wanamchukua alitikisa sana Bundes liga tena na timu yenye bajeti ya bilinganya kwenye usaji
Same kwa dortimund ila alisumbua na UEFA mpaka fainali.
Hata liverpool anabeba UEFA na sasa PL wachezaji wake ni wakawaida ila kocha amefanya kazi yake ipasavyo na inaonekana.
Leo umpe guadiola wolvermpton,chelsea,Arseanal au spurs anazishusha daraja kabisa
Ni kocha wa kawaida sana
Mourinyo kachukua UEFA na Fc Porto hakuna alie kua anatarajia kaja kuitambulisha chelsea ambayo ilikua kama burley tu!
Guadiola ni kocha wakiwango cha kawaida sana hajafika hata kwa Ostadh Nuno Espenito wa wolvermpton.
#epl
#champion
Amenishangaza Sana et anacheza bila "holding midfielder" yeyote game ya leo. Kituko cha mwaka kabsa hichi aisePepsi kwenye ubora wake wa ukanjanja na janja janja za ukocha ....
Pepsi ni kocha wa kawaiiiidaaaaa mnooooooooo
MwehuAmenishangaza Sana et anacheza bila "holding midfielder" yeyote game ya leo. Kituko cha mwaka kabsa hichi aise
Hii thread yako ni ujinga mtupu imejaa maujinga tu.I Said it any year ago
Huwezi kuelewa hii thread ukiwa na mahaba niuwe kwa pepHii thread yako ni ujinga mtupu imejaa maujinga tu.