Eliah Geofrey Kamwela
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 184
- 507
wekeza kwa ajili ya kesho iliyo bora.
Salute!PEPO LA UMASKINI:
Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako,
Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, Ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.
Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo,
Ukipata milioni, unagundua kua daladala Zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku!!!
Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa".....
#Divine_Solutions_Carrier
AahaaaaaPEPO LA UMASKINI:

namshukuru mungu roho hiyo sina japo sio siri napenda kupiga pamba...jeans kali, tisheti kali, saa kali huku nikinukia pafyumu kaliPEPO LA UMASKINI:
Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako,
Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, Ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.
Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo,
Ukipata milioni, unagundua kua daladala Zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku!!!
Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa".....
#Divine_Solutions_Carrier
Me nashukuru nilipata kamkopo fulani 10m nikatafuna kakafika 7 aisee nilipata ujasiri sijui wap nikajenga kabanda kweli kamekamilika bado madirisha tu na milango ..chumba 3 na sebuleMimi kila mwaka nasema huu mwaka ndio nafungua ile biashara na naanza kujenga kwenye kale kaplot kangu. Sijui hela huwa inaenda wapi.
Dependency ratio is higher than saving=poverty ✓Mimi kila mwaka nasema huu mwaka ndio nafungua ile biashara na naanza kujenga kwenye kale kaplot kangu. Sijui hela huwa inaenda wapi.
HahahaNimecheka aisee ndio siku unaingia ndani na kusearch sana nguo then unapata maokoto🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Note:
"People will love you and support you when there's beneficial"
Aiseer nimecheka mnooo 🤣🤣🤣🤣PEPO LA UMASKINI
Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako.
Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.
Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo.
Ukipata milioni, unagundua kua daladala zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku.
Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa"
#Divine_Solutions_Carrier
Nimekumiss ila Tayana-wog wish nione hta mikono yko.
Wewe kama Mimi kabisa..namshukuru mungu roho hiyo sina japo sio siri napenda kupiga pamba...jeans kali, tisheti kali, saa kali huku nikinukia pafyumu kali
yaani mimi nikitembea watu huwa wananitizama mpaka naona aibuWewe kama Mimi kabisa..
Hapo unakuta napiga shati mikono mirefu 30,000
Kadeti 50,000
Saa 50,000
Vest 10,000
Kofia 20,000
Mkanda 25,000
Sokisi 3000
Viatu Chelsea boot 200,000
Mafuta full package 130,000
Perfume creed aventus 1,400,000
Hapo ukiingiaa Barabarani Kila mtu anakuangaliaa tu.
Ahahaha ,waga wanafikiria jamaa anampungaa mrefu Nini??yaani mimi nikitembea watu huwa wananitizama mpaka naona aibu