"Pepo" la umasikini

"Pepo" la umasikini

Eliah Geofrey Kamwela

Senior Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
184
Reaction score
507
PEPO LA UMASKINI

Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako.

Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.

Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo.

Ukipata milioni, unagundua kua daladala zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku.

Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa"

#Divine_Solutions_Carrier
 
PEPO LA UMASKINI:
Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako,

Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, Ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.

Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo,

Ukipata milioni, unagundua kua daladala Zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku!!!

Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa".....

#Divine_Solutions_Carrier
Salute!
 
Aahaaaaa
 
namshukuru mungu roho hiyo sina japo sio siri napenda kupiga pamba...jeans kali, tisheti kali, saa kali huku nikinukia pafyumu kali
 
Mimi kila mwaka nasema huu mwaka ndio nafungua ile biashara na naanza kujenga kwenye kale kaplot kangu. Sijui hela huwa inaenda wapi.
Me nashukuru nilipata kamkopo fulani 10m nikatafuna kakafika 7 aisee nilipata ujasiri sijui wap nikajenga kabanda kweli kamekamilika bado madirisha tu na milango ..chumba 3 na sebule
 
PEPO LA UMASKINI

Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako.

Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.

Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo.

Ukipata milioni, unagundua kua daladala zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku.

Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa"

#Divine_Solutions_Carrier
Aiseer nimecheka mnooo 🤣🤣🤣🤣
Poker Intelligent businessman 🙌🙄
 
namshukuru mungu roho hiyo sina japo sio siri napenda kupiga pamba...jeans kali, tisheti kali, saa kali huku nikinukia pafyumu kali
Wewe kama Mimi kabisa..
Hapo unakuta napiga shati mikono mirefu 30,000

Kadeti 50,000

Saa 50,000

Vest 10,000

Kofia 20,000

Mkanda 25,000

Sokisi 3000

Viatu Chelsea boot 200,000

Mafuta full package 130,000

Perfume creed aventus 1,400,000

Hapo ukiingiaa Barabarani Kila mtu anakuangaliaa tu.
 
yaani mimi nikitembea watu huwa wananitizama mpaka naona aibu
 
Back
Top Bottom