Eliah Geofrey Kamwela
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 184
- 507
PEPO LA UMASKINI
Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako.
Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.
Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo.
Ukipata milioni, unagundua kua daladala zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku.
Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa"
#Divine_Solutions_Carrier