Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaPEPO LA UMASKINI
Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako.
Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.
Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo.
Ukipata milioni, unagundua kua daladala zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku.
Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa"
#Divine_Solutions_Carrier
Kweli duniani tumetofautiana sana.Wewe kama Mimi kabisa..
Hapo unakuta napiga shati mikono mirefu 30,000
Kadeti 50,000
Saa 50,000
Vest 10,000
Kofia 20,000
Mkanda 25,000
Sokisi 3000
Viatu Chelsea boot 200,000
Mafuta full package 130,000
Perfume creed aventus 1,400,000
Hapo ukiingiaa Barabarani Kila mtu anakuangaliaa tu.
Ko mi ndo pepo la umasikini 🤣😂🤒
50k ni Ya Bei cheap Sana,?Kweli duniani tumetofautiana sana.
Mimi kabisa ninunue jeans 50k.
Umejenga wapi singida au Lindi?Me nashukuru nilipata kamkopo fulani 10m nikatafuna kakafika 7 aisee nilipata ujasiri sijui wap nikajenga kabanda kweli kamekamilika bado madirisha tu na milango ..chumba 3 na sebule
AisePEPO LA UMASKINI
Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako.
Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.
Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo.
Ukipata milioni, unagundua kua daladala zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku.
Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa"
#Divine_Solutions_Carrier
Yaan Mimi na kamwili kamenona yaan...yaan mtu akiniona tu anajua ni mtu mwenye pesa basi Huwa nachukiaga....Wewe kama Mimi kabisa..
Hapo unakuta napiga shati mikono mirefu 30,000
Kadeti 50,000
Saa 50,000
Vest 10,000
Kofia 20,000
Mkanda 25,000
Sokisi 3000
Viatu Chelsea boot 200,000
Mafuta full package 130,000
Perfume creed aventus 1,400,000
Hapo ukiingiaa Barabarani Kila mtu anakuangaliaa tu.
Havikuzuii kufanikiwanamshukuru mungu roho hiyo sina japo sio siri napenda kupiga pamba...jeans kali, tisheti kali, saa kali huku nikinukia pafyumu kali
Hapana nimewaita Ili mpate maarifa🤣🤣🤣Ko mi ndo pepo la umasikini 🤣😂🤒
🤣🤣🤣🤣Kupata hela kidogo tu unaanza kugoogle madhara ya kula ugali usiku!
Au mtu unapata hela kidogo unaanza kusema mchicha ni chakula Cha sungura.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
N mbavu zangu mie [emoji119][emoji119][emoji119]
Haya tukutane kesho selfika🤣Nimekumiss ila Tayana-wog wish nione hta mikono yko.
Ni kubwa sana kwa jeans zangu mkuu. Labda kwa vile mimi sio mnazi wa mavazi japo napenda kupendeza ila ubahili wa kununua nguo unanifanya niwe rafu.50k ni Ya Bei cheap Sana,?