"Pepo" la umasikini

"Pepo" la umasikini

PEPO LA UMASKINI

Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako.

Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.

Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo.

Ukipata milioni, unagundua kua daladala zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku.

Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa"

#Divine_Solutions_Carrier
Pole sana
 
Wewe kama Mimi kabisa..
Hapo unakuta napiga shati mikono mirefu 30,000

Kadeti 50,000

Saa 50,000

Vest 10,000

Kofia 20,000

Mkanda 25,000

Sokisi 3000

Viatu Chelsea boot 200,000

Mafuta full package 130,000

Perfume creed aventus 1,400,000

Hapo ukiingiaa Barabarani Kila mtu anakuangaliaa tu.
Kweli duniani tumetofautiana sana.

Mimi kabisa ninunue jeans 50k.
 
PEPO LA UMASKINI

Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako.

Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini.

Zikiisha yanarudi Yale mawazo ya mwanzo.

Ukipata milioni, unagundua kua daladala zina msongamano na kukwepa korona, unaamua kukodi taxi kwa elfu thelathini kwa siku.

Kama dalili hizi zinakusumbua, jipige kifua na kwa sauti sema, "Ewe roho ya umaskini na msoto wa hela tooooooooookaaaaa"

#Divine_Solutions_Carrier
Aise
IMG_20230820_214239.jpg
 
Wewe kama Mimi kabisa..
Hapo unakuta napiga shati mikono mirefu 30,000

Kadeti 50,000

Saa 50,000

Vest 10,000

Kofia 20,000

Mkanda 25,000

Sokisi 3000

Viatu Chelsea boot 200,000

Mafuta full package 130,000

Perfume creed aventus 1,400,000

Hapo ukiingiaa Barabarani Kila mtu anakuangaliaa tu.
Yaan Mimi na kamwili kamenona yaan...yaan mtu akiniona tu anajua ni mtu mwenye pesa basi Huwa nachukiaga....

Wananipandishia bei wakati mmm mwanauchumi wa demand & supply factor......

Ignorance of consumer nawakwepa..... 😊🤣🤣🤣😂😂
 
Back
Top Bottom