Nitake radhi plz I know this people since 96 kuna mmoja alikuwa mpangaji wetu and I was std 5 that year
Ndio hao hao, jamaa wanajua kumfuatilia mtuHao jamaa si ndio wale wanagawa vitabu??
Wameshagawana majumba ya MASKI na Mbweni.Nianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na " ZOMBOKO" . But mimi sio tena Muislamu wala Mkristu.. Baada ya kutafakari maisha kwa kina sikuona mahala popote ambapo dini inasimama na mimi wala sehemu ambapo mimi ninasimama na dini hizo. So nimebaki kuwa mfuasi wa " NURU ". Na sisi wafuasi wa NURU hatutazami nani kaibeba hiyo Nuru bali tunafuata NURU bila kujali alie ibeba. Even though maisha yangu na majina yangu mtaani yanaweza kukupa impression kwamba i am Muslim but I am not.
Now back to the point. Wazo la pepo linalo hubiriwa na Mashahidi wa Yehova ndio wazo bora kabisa kuhusu pepo. Wazo hili ni bora kuliko pepo inayo hubiriwa na Waislamu = Pepo hiyo haipo duniani.
Pia ni bora kuliko wazo la pepo/ paradiso linalo hubiriwa na madhehebu mengine ya Kikristo kama vile Rc, Lutheran, SDA na makanisa ya Kipentekoste kwa sababu hata wao pepo/paradiso wanayo ihubiri itakuwa mbinguni..
BUT MASHAHIDI WA YEHOVA? VERY INTERESTING.. WAZO LA PEPO YAO LIPO VERY SEXY. Pepo inayo fundishwa na Mashahidi wa Yehova itakuwa duniani hapa hapa katika mazingira haya haya tunayoishi ambayo yataboreshwa.
Tutakuwa tunakaa kwenye mitaa yetu ile ile, Sinza, Migomigo, Back City, Kinondoni, Rock City, A Town, Chumbani etc but tutakuwa chini ya utawala na mfumo mpya wa maisha utakao letwa na Mungu ' A New World Order" ( Sio ile yenu ya " Firimasoni")
Ndani ya mfumo huo mpya kutakuwa 👇👇
1. Hakuna magonjwa wala vifo.
2. Hakuna ajali.
3. Hakuna uhalifu etc..
4. Watu wataishi kwa raha mustarehe. Tutaonana tena na ndugu zetu tulio wapoteza kwenye dunia chini ya mfumo huu ambao by that time utakuwa ni mfumo uliopita. Watafufuka/ watafufuliwa na maisha yataanza upya..
Mfumo huo mpya utakuja na New technology ( Non -polluting technology) ambayo inaboresha mazingira ya dunia na kuyafanya ya kuvutia ( kama Eden).
Ila itakuwa ni hapa hapa duniani.
Wazo la hawa watu kama ndio wazo la kweli basi litakuwa ndio wazo bora zaidi.. As a human being nitapenda niishi kwenye dunia hii hii ambayo ipo more advanced na isiyo na magonjwa, vita, uhalifu, vifo etc kuliko kwenda kuishi kwenye Pepo iliyopo kwenye mbingu sijui ya wapi wapi huko..
Binadamu, unconsciously huipenda dunia kuliko wanavyo ipenda mbingu.. Kama unataka kuamini nenda kanisani au msikitini wateke waumini wote na bunduki waambie wangapi wanampenda Mungu kutoka moyoni, wote watajobaraguza kwa kunyoosha mikono kusema wanampenda Mungu. Then go ahead waulize wangapi wanataka kwenda kwa Mungu muda huu wapite mbele wapigwe Mkwasa ( risasi) hutopata hata mmoja.
# Uzuri wa wazo la Mashahidi wa Yehova linaweza kutekelezeka hata kisayansi.. Miaka mingi inayo kuja binadamu tunaweza kuendelea kisayansi kiasi cha kuwa na uwezo wa kufanya tuishi milele, kufanya binadamu wasiugue, kufufua watu hata waliokufa miaka elfu moja iliyopita, etc...
Nilikuwa napenda sana vitabu vyao kipindi Niko mtoto
Mwisho wao utakuwa mbaya sanaNianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na " ZOMBOKO" . But mimi sio tena Muislamu wala Mkristu.. Baada ya kutafakari maisha kwa kina sikuona mahala popote ambapo dini inasimama na mimi wala sehemu ambapo mimi ninasimama na dini hizo. So nimebaki kuwa mfuasi wa " NURU ". Na sisi wafuasi wa NURU hatutazami nani kaibeba hiyo Nuru bali tunafuata NURU bila kujali alie ibeba. Even though maisha yangu na majina yangu mtaani yanaweza kukupa impression kwamba i am Muslim but I am not.
Now back to the point. Wazo la pepo linalo hubiriwa na Mashahidi wa Yehova ndio wazo bora kabisa kuhusu pepo. Wazo hili ni bora kuliko pepo inayo hubiriwa na Waislamu = Pepo hiyo haipo duniani.
Pia ni bora kuliko wazo la pepo/ paradiso linalo hubiriwa na madhehebu mengine ya Kikristo kama vile Rc, Lutheran, SDA na makanisa ya Kipentekoste kwa sababu hata wao pepo/paradiso wanayo ihubiri itakuwa mbinguni..
BUT MASHAHIDI WA YEHOVA? VERY INTERESTING.. WAZO LA PEPO YAO LIPO VERY SEXY. Pepo inayo fundishwa na Mashahidi wa Yehova itakuwa duniani hapa hapa katika mazingira haya haya tunayoishi ambayo yataboreshwa.
Tutakuwa tunakaa kwenye mitaa yetu ile ile, Sinza, Migomigo, Back City, Kinondoni, Rock City, A Town, Chumbani etc but tutakuwa chini ya utawala na mfumo mpya wa maisha utakao letwa na Mungu ' A New World Order" ( Sio ile yenu ya " Firimasoni")
Ndani ya mfumo huo mpya kutakuwa 👇👇
1. Hakuna magonjwa wala vifo.
2. Hakuna ajali.
3. Hakuna uhalifu etc..
4. Watu wataishi kwa raha mustarehe. Tutaonana tena na ndugu zetu tulio wapoteza kwenye dunia chini ya mfumo huu ambao by that time utakuwa ni mfumo uliopita. Watafufuka/ watafufuliwa na maisha yataanza upya..
Mfumo huo mpya utakuja na New technology ( Non -polluting technology) ambayo inaboresha mazingira ya dunia na kuyafanya ya kuvutia ( kama Eden).
Ila itakuwa ni hapa hapa duniani.
Wazo la hawa watu kama ndio wazo la kweli basi litakuwa ndio wazo bora zaidi.. As a human being nitapenda niishi kwenye dunia hii hii ambayo ipo more advanced na isiyo na magonjwa, vita, uhalifu, vifo etc kuliko kwenda kuishi kwenye Pepo iliyopo kwenye mbingu sijui ya wapi wapi huko..
Binadamu, unconsciously huipenda dunia kuliko wanavyo ipenda mbingu.. Kama unataka kuamini nenda kanisani au msikitini wateke waumini wote na bunduki waambie wangapi wanampenda Mungu kutoka moyoni, wote watajobaraguza kwa kunyoosha mikono kusema wanampenda Mungu. Then go ahead waulize wangapi wanataka kwenda kwa Mungu muda huu wapite mbele wapigwe Mkwasa ( risasi) hutopata hata mmoja.
# Uzuri wa wazo la Mashahidi wa Yehova linaweza kutekelezeka hata kisayansi.. Miaka mingi inayo kuja binadamu tunaweza kuendelea kisayansi kiasi cha kuwa na uwezo wa kufanya tuishi milele, kufanya binadamu wasiugue, kufufua watu hata waliokufa miaka elfu moja iliyopita, etc...
SavageKama mashangazi watakuwepo its oky...
Ila kama hakuna bora pepo ya waislam naskia kila mtu anapewa wanawake 100 ambao hao unakua umepewa nguvu ya kuwamega wanawake Buku just imagine..
Hakuna mkongo wala mundende an mzigo ukisimama unaenda nao.mpaka siku tatu na utamu ule ule.😄😄😄😄🙌🙌🙌 Oyaa peponi kumenoga
Tiwa bin savageSavage
Hata wa SDA wanaamini mbinguni watakatifu wataishi miaka 1000 tu baada ya hapo watarudi kula good time hapahapa ila dunia itaumbwa upya na maisha hayatakoma milele.Nianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na " ZOMBOKO" . But mimi sio tena Muislamu wala Mkristu.. Baada ya kutafakari maisha kwa kina sikuona mahala popote ambapo dini inasimama na mimi wala sehemu ambapo mimi ninasimama na dini hizo. So nimebaki kuwa mfuasi wa " NURU ". Na sisi wafuasi wa NURU hatutazami nani kaibeba hiyo Nuru bali tunafuata NURU bila kujali alie ibeba. Even though maisha yangu na majina yangu mtaani yanaweza kukupa impression kwamba i am Muslim but I am not.
Now back to the point. Wazo la pepo linalo hubiriwa na Mashahidi wa Yehova ndio wazo bora kabisa kuhusu pepo. Wazo hili ni bora kuliko pepo inayo hubiriwa na Waislamu = Pepo hiyo haipo duniani.
Pia ni bora kuliko wazo la pepo/ paradiso linalo hubiriwa na madhehebu mengine ya Kikristo kama vile Rc, Lutheran, SDA na makanisa ya Kipentekoste kwa sababu hata wao pepo/paradiso wanayo ihubiri itakuwa mbinguni..
BUT MASHAHIDI WA YEHOVA? VERY INTERESTING.. WAZO LA PEPO YAO LIPO VERY SEXY. Pepo inayo fundishwa na Mashahidi wa Yehova itakuwa duniani hapa hapa katika mazingira haya haya tunayoishi ambayo yataboreshwa.
Tutakuwa tunakaa kwenye mitaa yetu ile ile, Sinza, Migomigo, Back City, Kinondoni, Rock City, A Town, Chumbani etc but tutakuwa chini ya utawala na mfumo mpya wa maisha utakao letwa na Mungu ' A New World Order" ( Sio ile yenu ya " Firimasoni")
Ndani ya mfumo huo mpya kutakuwa 👇👇
1. Hakuna magonjwa wala vifo.
2. Hakuna ajali.
3. Hakuna uhalifu etc..
4. Watu wataishi kwa raha mustarehe. Tutaonana tena na ndugu zetu tulio wapoteza kwenye dunia chini ya mfumo huu ambao by that time utakuwa ni mfumo uliopita. Watafufuka/ watafufuliwa na maisha yataanza upya..
Mfumo huo mpya utakuja na New technology ( Non -polluting technology) ambayo inaboresha mazingira ya dunia na kuyafanya ya kuvutia ( kama Eden).
Ila itakuwa ni hapa hapa duniani.
Wazo la hawa watu kama ndio wazo la kweli basi litakuwa ndio wazo bora zaidi.. As a human being nitapenda niishi kwenye dunia hii hii ambayo ipo more advanced na isiyo na magonjwa, vita, uhalifu, vifo etc kuliko kwenda kuishi kwenye Pepo iliyopo kwenye mbingu sijui ya wapi wapi huko..
Binadamu, unconsciously huipenda dunia kuliko wanavyo ipenda mbingu.. Kama unataka kuamini nenda kanisani au msikitini wateke waumini wote na bunduki waambie wangapi wanampenda Mungu kutoka moyoni, wote watajobaraguza kwa kunyoosha mikono kusema wanampenda Mungu. Then go ahead waulize wangapi wanataka kwenda kwa Mungu muda huu wapite mbele wapigwe Mkwasa ( risasi) hutopata hata mmoja.
# Uzuri wa wazo la Mashahidi wa Yehova linaweza kutekelezeka hata kisayansi.. Miaka mingi inayo kuja binadamu tunaweza kuendelea kisayansi kiasi cha kuwa na uwezo wa kufanya tuishi milele, kufanya binadamu wasiugue, kufufua watu hata waliokufa miaka elfu moja iliyopita, etc...
Bora pepo ya mabikra 72🤣🤣Huyu kazinguliwa na yale mapichapicha ya peponi wanayochora mule kaingia chaka
Humu jf ni nani anaweza kuwa kati ya hao 144?Pepo ni ya watu 144,pekee,baada ya harmagedon,siku 1000, YEKHOVA,ataitengeneza dunia yetu katika ubora wa kipekee,na amini,mwana simba atacheza na mwana kondoo!....
#I LOVE JEHOVAH WITNESS!
#Huyu likud siyo gagula?
Umekwazika na mabikra?Bora pepo ya mabikra 72🤣🤣
Ni kugegeda TU huku tunashusha mito ya pombe
Bia zitakuwepo? Maana kwa hawa wengine kuna mpaka mito inayotiririsha pombeNianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na " ZOMBOKO" . But mimi sio tena Muislamu wala Mkristu.. Baada ya kutafakari maisha kwa kina sikuona mahala popote ambapo dini inasimama na mimi wala sehemu ambapo mimi ninasimama na dini hizo. So nimebaki kuwa mfuasi wa " NURU ". Na sisi wafuasi wa NURU hatutazami nani kaibeba hiyo Nuru bali tunafuata NURU bila kujali alie ibeba. Even though maisha yangu na majina yangu mtaani yanaweza kukupa impression kwamba i am Muslim but I am not.
Now back to the point. Wazo la pepo linalo hubiriwa na Mashahidi wa Yehova ndio wazo bora kabisa kuhusu pepo. Wazo hili ni bora kuliko pepo inayo hubiriwa na Waislamu = Pepo hiyo haipo duniani.
Pia ni bora kuliko wazo la pepo/ paradiso linalo hubiriwa na madhehebu mengine ya Kikristo kama vile Rc, Lutheran, SDA na makanisa ya Kipentekoste kwa sababu hata wao pepo/paradiso wanayo ihubiri itakuwa mbinguni..
BUT MASHAHIDI WA YEHOVA? VERY INTERESTING.. WAZO LA PEPO YAO LIPO VERY SEXY. Pepo inayo fundishwa na Mashahidi wa Yehova itakuwa duniani hapa hapa katika mazingira haya haya tunayoishi ambayo yataboreshwa.
Tutakuwa tunakaa kwenye mitaa yetu ile ile, Sinza, Migomigo, Back City, Kinondoni, Rock City, A Town, Chumbani etc but tutakuwa chini ya utawala na mfumo mpya wa maisha utakao letwa na Mungu ' A New World Order" ( Sio ile yenu ya " Firimasoni")
Ndani ya mfumo huo mpya kutakuwa 👇👇
1. Hakuna magonjwa wala vifo.
2. Hakuna ajali.
3. Hakuna uhalifu etc..
4. Watu wataishi kwa raha mustarehe. Tutaonana tena na ndugu zetu tulio wapoteza kwenye dunia chini ya mfumo huu ambao by that time utakuwa ni mfumo uliopita. Watafufuka/ watafufuliwa na maisha yataanza upya..
Mfumo huo mpya utakuja na New technology ( Non -polluting technology) ambayo inaboresha mazingira ya dunia na kuyafanya ya kuvutia ( kama Eden).
Ila itakuwa ni hapa hapa duniani.
Wazo la hawa watu kama ndio wazo la kweli basi litakuwa ndio wazo bora zaidi.. As a human being nitapenda niishi kwenye dunia hii hii ambayo ipo more advanced na isiyo na magonjwa, vita, uhalifu, vifo etc kuliko kwenda kuishi kwenye Pepo iliyopo kwenye mbingu sijui ya wapi wapi huko..
Binadamu, unconsciously huipenda dunia kuliko wanavyo ipenda mbingu.. Kama unataka kuamini nenda kanisani au msikitini wateke waumini wote na bunduki waambie wangapi wanampenda Mungu kutoka moyoni, wote watajobaraguza kwa kunyoosha mikono kusema wanampenda Mungu. Then go ahead waulize wangapi wanataka kwenda kwa Mungu muda huu wapite mbele wapigwe Mkwasa ( risasi) hutopata hata mmoja.
# Uzuri wa wazo la Mashahidi wa Yehova linaweza kutekelezeka hata kisayansi.. Miaka mingi inayo kuja binadamu tunaweza kuendelea kisayansi kiasi cha kuwa na uwezo wa kufanya tuishi milele, kufanya binadamu wasiugue, kufufua watu hata waliokufa miaka elfu moja iliyopita, etc...
In biblical tayari wamesha teuliwa wote 144000. Tayari,sisi tuna buga buga tu 😀Humu jf ni nani anaweza kuwa kati ya hao 144?