Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Wazee wa door to door na vi magazine vyao vya WatchTower, 144,000 ndo idadi ya watu watakaoiona hiyo mbingu mpya
Halafu uzuri wa Mashahidi wanasema mtu hutachomwa milele. Utakaa motoni kwa miaka 1,000 tu then unatolewa kuja kula maisha fresh na wenzako ambao hawakwenda motoni though utakuwa na alama kuonesha umewahi kupita motoni of which mi naona fresh tu ili mradi hauko motoni😂😂Nianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na " ZOMBOKO" . But mimi sio tena Muislamu wala Mkristu.. Baada ya kutafakari maisha kwa kina sikuona mahala popote ambapo dini inasimama na mimi wala sehemu ambapo mimi ninasimama na dini hizo. So nimebaki kuwa mfuasi wa " NURU ". Na sisi wafuasi wa NURU hatutazami nani kaibeba hiyo Nuru bali tunafuata NURU bila kujali alie ibeba. Even though maisha yangu na majina yangu mtaani yanaweza kukupa impression kwamba i am Muslim but I am not.
Now back to the point. Wazo la pepo linalo hubiriwa na Mashahidi wa Yehova ndio wazo bora kabisa kuhusu pepo. Wazo hili ni bora kuliko pepo inayo hubiriwa na Waislamu = Pepo hiyo haipo duniani.
Pia ni bora kuliko wazo la pepo/ paradiso linalo hubiriwa na madhehebu mengine ya Kikristo kama vile Rc, Lutheran, SDA na makanisa ya Kipentekoste kwa sababu hata wao pepo/paradiso wanayo ihubiri itakuwa mbinguni..
BUT MASHAHIDI WA YEHOVA? VERY INTERESTING.. WAZO LA PEPO YAO LIPO VERY SEXY. Pepo inayo fundishwa na Mashahidi wa Yehova itakuwa duniani hapa hapa katika mazingira haya haya tunayoishi ambayo yataboreshwa.
Tutakuwa tunakaa kwenye mitaa yetu ile ile, Sinza, Migomigo, Back City, Kinondoni, Rock City, A Town, Chumbani etc but tutakuwa chini ya utawala na mfumo mpya wa maisha utakao letwa na Mungu ' A New World Order" ( Sio ile yenu ya " Firimasoni")
Ndani ya mfumo huo mpya kutakuwa 👇👇
1. Hakuna magonjwa wala vifo.
2. Hakuna ajali.
3. Hakuna uhalifu etc..
4. Watu wataishi kwa raha mustarehe. Tutaonana tena na ndugu zetu tulio wapoteza kwenye dunia chini ya mfumo huu ambao by that time utakuwa ni mfumo uliopita. Watafufuka/ watafufuliwa na maisha yataanza upya..
Mfumo huo mpya utakuja na New technology ( Non -polluting technology) ambayo inaboresha mazingira ya dunia na kuyafanya ya kuvutia ( kama Eden).
Ila itakuwa ni hapa hapa duniani.
Wazo la hawa watu kama ndio wazo la kweli basi litakuwa ndio wazo bora zaidi.. As a human being nitapenda niishi kwenye dunia hii hii ambayo ipo more advanced na isiyo na magonjwa, vita, uhalifu, vifo etc kuliko kwenda kuishi kwenye Pepo iliyopo kwenye mbingu sijui ya wapi wapi huko..
Binadamu, unconsciously huipenda dunia kuliko wanavyo ipenda mbingu.. Kama unataka kuamini nenda kanisani au msikitini wateke waumini wote na bunduki waambie wangapi wanampenda Mungu kutoka moyoni, wote watajobaraguza kwa kunyoosha mikono kusema wanampenda Mungu. Then go ahead waulize wangapi wanataka kwenda kwa Mungu muda huu wapite mbele wapigwe Mkwasa ( risasi) hutopata hata mmoja.
# Uzuri wa wazo la Mashahidi wa Yehova linaweza kutekelezeka hata kisayansi.. Miaka mingi inayo kuja binadamu tunaweza kuendelea kisayansi kiasi cha kuwa na uwezo wa kufanya tuishi milele, kufanya binadamu wasiugue, kufufua watu hata waliokufa miaka elfu moja iliyopita, etc...
Dizaini kuna ukweli. Bendera inapandishwa mtu unasimama kimya kabisa, ni kama ibada fulani.Hao mashahidi wa Yehova wanapingana na kila mtu just imagine hata kuheshimu bendera ya Taifa kwao ni kuabudu sanamu ukitaka tukuone upo upo tu hapa duniani sali JW
Mormon ni kama RC nalipenda hilo Kanisa aisee wanaamini pia ufufuko ila kuiona pepo ni kwa imani na siyo matendoHebu angazia pia pepo ya Mormon aka Latter Day Saints (LSD) . Pepo yao lazima itakuwa na burudani sana Waislam watasubiri.
..Ukiweka uzi naomba unitag.
Kingine Mormon wanaamini Mungu baba alioa na kumzaa Yesu. Vilevile wana vitabu vyao 5 wameviongeza kwenye biblia ya kawaida na kufanya vitabu 77Hebu angazia pia pepo ya Mormon aka Latter Day Saints (LSD) . Pepo yao lazima itakuwa na burudani sana Waislam watasubiri.
..Ukiweka uzi naomba unitag.
Miaka 1,000 unaungua moto sio mchezo.Halafu uzuri wa Mashahidi wanasema mtu hutachomwa milele. Utakaa motoni kwa miaka 1,000 tu then unatolewa kuja kula maisha fresh na wenzako ambao hawakwenda motoni though utakuwa na alama kuonesha umewahi kupita motoni of which mi nakna fresh tu ila mradi hauko motoni😂😂
Sio kama RC, Mormons wanaamini Mungu Baba aliwahi kuwa binadamu halisi kama ya kuwa mungu mkuu.Mormon ni kama RC nalipenda hilo Kanisa aisee wanaamini pia ufufuko ila kuiona pepo ni kwa imani na siyo matendo
Wanatofautiana katika utatu ila mambo mengine ni vilevileSio kama RC, Mormons wanaamini Mungu Baba aliwahi kuwa binadamu halisi kama ya kuwa mungu mkuu.
Jamaa wasanii sana.Kingine Mormon wanaamini Mungu baba alioa na kumzaa Yesu. Vilevile wana vitabu vyao 5 wameviongeza kwenye biblia ya kawaida na kufanya vitabu 77
Yaap hata Trump anasalipo halafu huwa nasikia ni Masonic maana uyo mwanzilishi wao Joseph smith alikuwaga grand masterJamaa wasanii sana.
Halafu Mormon ndiyo kanisa tajiri kuliko yote duniani. Katoliki wanasubiri. Jamaa ni mabebari na wafanya biashara na wawekezaji haswa
Mormons hawamuombi Maria na kwanza hawamtambui hata kama bikira maria, hawanywi pombe, kahahwa au chai.Wanatofautiana katika utatu ila mambo mengine ni vilevile
Ooh kumbeeMormons hawamuombi Maria na kwanza hawamtambui hata kama bikira maria, hawanywi pombe, kahahwa au chai.
Ukizitransform to holy mass huwa inanoga vibaya si ajabu maombi yako yanajibiwa on soonHapana. Nina practice Ancestral Veneration.. Ibada za matambiko ya mababu
Duuh!Hapana. Nina practice Ancestral Veneration.. Ibada za matambiko ya mababu
Ndio,hawaruhusu kutoa /kuchangia damuLeo tumemzika Mzee jirani,kaumwa kagoma kuongezeawa damu, na kuzika hawaweki msalaba,hii ndio misimamo yenu??