" Pepo" ya Mashahidi wa Yehova (Jehovah Witnesses) ndio pepo bora kuliko zote

Energy can neither be created not destroyed, but it can be transformed from one form to another..

So the only thing ambayo binadamu hata afanye nini hawezi ni kuondoa kifo..
Never will that happen
 
Wameshagawana majumba ya MASKI na Mbweni.
 
falme za dunia hii zimekuwa falme za yehova Mungu na kristo wake ....OOO PAWA
 
Mwisho wao utakuwa mbaya sana
 
Savage
 
Hata wa SDA wanaamini mbinguni watakatifu wataishi miaka 1000 tu baada ya hapo watarudi kula good time hapahapa ila dunia itaumbwa upya na maisha hayatakoma milele.
 
Mzee watu wakifufuka toka enzi za Kristo mwaka buku bee, dunia itakalika kweli??

Watu zaidi ya 100B.
 
Bia zitakuwepo? Maana kwa hawa wengine kuna mpaka mito inayotiririsha pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…