" Pepo" ya Mashahidi wa Yehova (Jehovah Witnesses) ndio pepo bora kuliko zote

Wazee wa door to door na vi magazine vyao vya WatchTower, 144,000 ndo idadi ya watu watakaoiona hiyo mbingu mpya
 
Halafu uzuri wa Mashahidi wanasema mtu hutachomwa milele. Utakaa motoni kwa miaka 1,000 tu then unatolewa kuja kula maisha fresh na wenzako ambao hawakwenda motoni though utakuwa na alama kuonesha umewahi kupita motoni of which mi naona fresh tu ili mradi hauko motoni😂😂
 
Hebu angazia pia pepo ya Mormon aka Latter Day Saints (LSD) . Pepo yao lazima itakuwa na burudani sana Waislam watasubiri.
..Ukiweka uzi naomba unitag.
Mormon ni kama RC nalipenda hilo Kanisa aisee wanaamini pia ufufuko ila kuiona pepo ni kwa imani na siyo matendo
 
Hebu angazia pia pepo ya Mormon aka Latter Day Saints (LSD) . Pepo yao lazima itakuwa na burudani sana Waislam watasubiri.
..Ukiweka uzi naomba unitag.
Kingine Mormon wanaamini Mungu baba alioa na kumzaa Yesu. Vilevile wana vitabu vyao 5 wameviongeza kwenye biblia ya kawaida na kufanya vitabu 77
 
Miaka 1,000 unaungua moto sio mchezo.
 
Kingine Mormon wanaamini Mungu baba alioa na kumzaa Yesu. Vilevile wana vitabu vyao 5 wameviongeza kwenye biblia ya kawaida na kufanya vitabu 77
Jamaa wasanii sana.
Halafu Mormon ndiyo kanisa tajiri kuliko yote duniani. Katoliki wanasubiri. Jamaa ni mabebari na wafanya biashara na wawekezaji haswa
 
Jamaa wasanii sana.
Halafu Mormon ndiyo kanisa tajiri kuliko yote duniani. Katoliki wanasubiri. Jamaa ni mabebari na wafanya biashara na wawekezaji haswa
Yaap hata Trump anasalipo halafu huwa nasikia ni Masonic maana uyo mwanzilishi wao Joseph smith alikuwaga grand master
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…