" Pepo" ya Mashahidi wa Yehova (Jehovah Witnesses) ndio pepo bora kuliko zote

Kuna andiko kwenye biblia wanalitumia wanadai linakataza hilo,wako strict sana,piga ua huwezi badili msimamo wao
Daah,kumbe,huyu Mzee alikuwa mkali kuhusu kuongezewa damu,na hakuongezewa,

Sasa na hii wanazika bila mashada Wala msalaba,hii nimeona Leo.
 
Daah,kumbe,huyu Mzee alikuwa mkali kuhusu kuongezewa damu,na hakuongezewa,

Sasa na hii wanazika bila mashada Wala msalaba,hii nimeona Leo.
Mashahidi wa Yehova hutegemea hasa maandiko yanayozungumzia kuepuka damu. Wanafasiri amri hizo kuwa zinahusu si kula damu tu, bali pia kuongezewa damu kwa njia ya tiba. Maandiko makuu wanayotumia ni:


  1. 9:3–4

"Lakini nyama pamoja na uhai wake, yaani damu yake, msiile."

  1. 17:10–14

Mungu anaamuru Waisraeli wasile damu kwa sababu "uhai wa kiumbe uko katika damu."

  1. 12:23–25

"Usile damu, kwa maana damu ndiyo uhai."

  1. 15:28–29

Mitume waliwaandikia Wakristo: "Jiepusheni na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na vitu vilivyosongwa, na uasherati."

  1. 21:25

Inarudia maagizo yale yale ya kujiepusha na damu.

Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba Biblia haisemi moja kwa moja kuhusu kuongezewa damu (blood transfusion), kwa kuwa utaratibu huo wa kitabibu haukuwepo wakati maandiko hayo yaliandikwa. Mashahidi wa Yehova hufikia hitimisho lao kwa kutafsiri amri ya "kujizuia na damu" kuwa inahusu pia kuingiza damu mwilini kwa njia yoyote.


Madhehebu mengi mengine ya Kikristo hutafsiri maandiko hayo tofauti. Yanaona kwamba yanakataza kula damu kama chakula au katika ibada za kipagani, lakini hayakatazi kuongezewa damu kwa madhumuni ya tiba.


Kwa hiyo, tofauti hiyo hutokana na tafsiri ya maandiko, si kwa sababu kuna mstari unaotaja moja kwa moja kuongezewa damu.
 
Dunia ina watu bilioni 8+ , kwa historia yote wameishi watu bilioni 100+, ikiwa wote watafufuka, dunia itatosha?


Mfumo wa ikolojia una uwezo wa kuchukua watu wangapi?

Fikiria Dar es Salaam yenye watu milioni 5+, sasa ongeza watu wote waliokufa tangu 1900, Sinza na Tabata zitatosha?
 
Kwanza utuambie wewe ni Mndengereko wa wapi? Maaa hao Wandngereko unaowasifu kwamba karibu 100% yao ni Waislam kuna maeneo wana dini ile ya mazoea tu lakini ni watu wasiofuata dini kabisa. Niliwahi kuishi Ungengerekoni miaka ya 90, nimeshuhudia wengi hawafungi Ramadhan na ule mchanganyiko wao na Wamatumbi wanakata ugimbi mpaka wanakufuru kwanini Mungu hakuwawekea mdomo kichwani pombe wangekuwa wanamimina tu badala ya kuinywa.
Kwa sasa nenga ntopo kilebe! Sisemi chochote.
 
Hata Uislam unafundisha kuwa, kama ulikua na dhambi utachomwa moto halafu utapata msamaha utaenda kua good times as long as ulikua muislam. Ila kama hukuwa muislam ndio utachomwa milele.
 
Waliulize hao mashahidi wa yehova.hyo Pepo Yao ya sinza ataijenga nani?
Wewe umepata hasara kubwa sana
 
Utakapo kuwa chini ya udongo ndo utajua kati ya dini na wewe nani ni burudani.anamburudisha mwenzie.
Mnajisahau sana nyie ugali maharage
Acha vitisho
Sisi wenye Yesu hatutishwi na hayo mambo yenu ya udongo
 
Mwamba poor 🧠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…