Orodha ni kubwa.Vipi Ngono zembe?
Pepsi big wamechemka sana inabidi warudi maabara waichanganywe upya, taste sio nzuri sijui kwa wengine wanaionaje!Pepsi zimeadimika sehemu kubwa nchini.
Wametuletea ma pepsi big zero sijui ya nini wakati hayana sukari yamejaza gesi tu ikiisha soda mbovu balaa
Wapi kaka MshanaHuku zipo nyingi tu mbona?
Ni kweliPepsi big wamechemka sana inabidi warudi maabara waichanganywe upya, taste sio nzuri sijui kwa wengine wanaionaje!
Hawa Pepsi kwenye pepsi big wameharibu kinywaji husasani flavour, hata kwenye "recipe' yake kuna sehemu walikosea ingredients zake inabidi warudi maabara kwakweli. Lakini kingine labda kwa sasa wanazalisha stock ya mwisho wa mwaka ndiyo maana kwa sasa munaona zimepungua.Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.