Pepsi imepotea madukani

Pepsi imepotea madukani

Vipi Ngono zembe?
Orodha ni kubwa.

Ni swala la mtu binafsi kujitambua na kuchukua hatua.

We fikiria imeandikwa UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO kwa maandishi makubwa

Ila mtu anenda kununua!
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Hawa Pepsi kwenye pepsi big wameharibu kinywaji husasani flavour, hata kwenye "recipe' yake kuna sehemu walikosea ingredients zake inabidi warudi maabara kwakweli. Lakini kingine labda kwa sasa wanazalisha stock ya mwisho wa mwaka ndiyo maana kwa sasa munaona zimepungua.
 
Back
Top Bottom