Pepsi ina nini?

Pepsi ina nini?

Pale ulitakiwa unielezee labda vitu vinavyoweka ambavyo vina athari labda sukarii nyingii,
Lakin eti uichukue uichemshe ,basi hata wali mbaya ukipikwa chukua uumwagie majivu kama utaula hahahahah
Sasa obviously itakuwa na chemicals ambazo zinafanya iumuke na kuganda kama chuma.

Ila nimekukubali mtoto mzuri
 
Niletee maji mengiii ya kilimanjaro utakuwa umeokoa afya yangu [emoji23][emoji23]
Daah
Nikipata mtu ambaye ni mlevi wa pepsi tu ntafurahi, siyo bia
Kijipepsi cha jero haaa mtoto wa kike umefurahi
Safi sana
 
Dinazade ukitaka kuifahamu pepsi vizuri hebu ichemshe ichemke kisha uiache ipoe uone maajabu.

Au nenda youtube katype

"What happens after boiling pepsi"

.
Kwani umeambiwa tumboni kuna jiko itaenda kuchemshwa.? hiyo ni change ya kawaida tu sababu umeamua kuidestroy kwa heat
 
Jamanii pepsi ina nini ,,ile ya 500 ,acha ile peps diet ile yenyewee jamani wameweka tuninii ,,nikiiona tu natamani kunywaa jamani,,leo nimejikaza siku nzima sijanywa naona siku ndefu wallah,,na tunaambiwa soda mbaya,chips mbaya,pombe mbayaa sasa hata pepsi mbaya jamanii
Mi naipenda kweli ina ladha fulan hivii amazing , au ina kilevii najiuliza maswali smaliziiii
Hiyo inaitwa alosto...
 
Me mashetan yang
Yapo kwny coke na castle larger

Onja msisimkoooo
Na Coca-Cola
 
Back
Top Bottom