Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mgonjwa wa pepsi..hasa ya chupa..ile soda ni tamu sanaJamanii pepsi ina nini ,,ile ya 500 ,acha ile peps diet ile yenyewee jamani wameweka tuninii ,,nikiiona tu natamani kunywaa jamani,,leo nimejikaza siku nzima sijanywa naona siku ndefu wallah,,na tunaambiwa soda mbaya,chips mbaya,pombe mbayaa sasa hata pepsi mbaya jamanii
Mi naipenda kweli ina ladha fulan hivii amazing , au ina kilevii najiuliza maswali smaliziiii
Kwani tumboni kuna jiko itachemka?imetengenezwa ili inywewe sio ichemshwee,,hata we ukichukua nguo yako uichome moto lazima iharibikeeDinazade ukitaka kuifahamu pepsi vizuri hebu ichemshe ichemke kisha uiache ipoe uone maajabu.
Au nenda youtube katype
"What happens after boiling pepsi"
Dinazade ukitaka kuifahamu pepsi vizuri hebu ichemshe ichemke kisha uiache ipoe uone maajabu.
Au nenda youtube katype se
Ngoja nikubakishie kiduchuYaan mpaka muda huu nalala ,sijanywa leo namshukuru Mungu,,yaan naipenda hiyo soda wapunguze wanachokiweka
Haaa... Tena nlipanga nikuletee zawadi kwenye valentine..duhSitaki mi nataka kuachaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji14][emoji14][emoji14]mkuu umenivuruga mpaka naandika hii comment naenda dukani kununua[emoji2][emoji124]
mbuzi katoliki.Ni mafuta gani hayoo
Hahaaaa, kumbe mateja wa Pepsi tuko wengi?! Hata mie naipenda ila kuepuka kujaza sukari mwilini huwa nazimua na maji au ice cubes.Jamanii pepsi ina nini ,,ile ya 500 ,acha ile peps diet ile yenyewee jamani wameweka tuninii ,,nikiiona tu natamani kunywaa jamani,,leo nimejikaza siku nzima sijanywa naona siku ndefu wallah,,na tunaambiwa soda mbaya,chips mbaya,pombe mbayaa sasa hata pepsi mbaya jamanii
Mi naipenda kweli ina ladha fulan hivii amazing , au ina kilevii najiuliza maswali smaliziiii