Pepsi ina nini?

Pale ulitakiwa unielezee labda vitu vinavyoweka ambavyo vina athari labda sukarii nyingii,
Lakin eti uichukue uichemshe ,basi hata wali mbaya ukipikwa chukua uumwagie majivu kama utaula hahahahah
Sasa obviously itakuwa na chemicals ambazo zinafanya iumuke na kuganda kama chuma.

Ila nimekukubali mtoto mzuri
 
Niletee maji mengiii ya kilimanjaro utakuwa umeokoa afya yangu [emoji23][emoji23]
Daah
Nikipata mtu ambaye ni mlevi wa pepsi tu ntafurahi, siyo bia
Kijipepsi cha jero haaa mtoto wa kike umefurahi
Safi sana
 
Dinazade ukitaka kuifahamu pepsi vizuri hebu ichemshe ichemke kisha uiache ipoe uone maajabu.

Au nenda youtube katype

"What happens after boiling pepsi"

.
Kwani umeambiwa tumboni kuna jiko itaenda kuchemshwa.? hiyo ni change ya kawaida tu sababu umeamua kuidestroy kwa heat
 
Hiyo inaitwa alosto...
 
Mimi azam cola
Zitaniua.kila nikisema naacha waaaaapi!
 
Me mashetan yang
Yapo kwny coke na castle larger

Onja msisimkoooo
Na Coca-Cola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…