Pepsi ina nini?

yaaan sentensi yako huwez amin ilivyonifurahisha. I like your positive way of life.

am happy having you as a friend
Asante sana jje's,hata nami nafurahia kila uwepo wako kwangu [emoji8][emoji8]
 
Kutishiana madhara ya soda sio vema. Mungu aliumba miili yetu na uwezo mkubwa wa kufight sumu za aina nyingi zile za kawaida...la hivi Leo tangu kugunduliwa kwa soda tafiti zingeshaonyesha madhara makubwa....hata ivyo joto la mwili haliwezi fikia boiling point ambayo watu wanasema tuchemshe Pepsi tuone matokeo....
 
Utakuwa umepata mpenzi anafanya kazi pepsi kila ukiziona unamkumbuka
 
Ila tambua yakwamba hiyo nayo ni zao la dawa za kulevya aina ya cocaine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…