PostGE2025 Peramiho: Mtoto wa Jenista atemwa, CCM yamteua DC Komba kugombea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika leo Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.

Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dk Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.
Akiamua to cross, jimbo analichukua kwa ulaini kama ameliokota!, akitulia atapoozwa kwa u DC!.
Ila CCM, imewatosa top 4 na kumchagua mtu wa 5!.
P
 
Ndiyo hapo sasa. CCM ni wahuni sana. Hiki kikundi ni hatari kuliko watu wanavyofikiri.

Wamemuingiza chaka, "tumia tu pesa ya mama, ndani ya miezi 6 itarudi yote". Mtu kaenda kupukutisha akiba yote.

Ila watamkumbuka, si muda mrefu utasikia ni DC mahali fulani.
DC hana mafungu na job security ni ndogo kulinganisha na ubunge.
 
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika leo Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.

Uchaguzi mdogo wa ubunge wa Peramiho utafanyika Alhamisi ya Februari 26, 2026 ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Jenista Mhagama ambaye alifariki dunia Desemba 11,2025, katika Hospitali ya Benjamin Mkaра kwa ugonjwa wa moyo.

Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dk Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.

Wengine na kura zao kwenye mabano ni Getrude Haule (2,913), Dk Joseph Mhagama (943), Frank Matola (215), Dk Lazaro Kiomba (213), Dk Damas Mapunda (200) na Isabellah Mwampamba (131).

Soma Pia: Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho

Wengine ni Joseph Masikitiko (126), Erasmo Mwingira (124), Allen Mhagama (114), Schoral Ngonyani (84), Lazaro Ndenji(68), Davis Ngonyani(62), Thea Ntara (57), Emil Ngaponda (51), Serafina Mkuwa (48), Clemence Mwinuka (35), Emelian Mbawala (24), Benjamin Kamtawa (23), Prosper Luambano (22), Dominic Mahundi(19), Fredrick Millinga (17), Sixmund Rungu (9), Rose Shawa (7), Rosemary Ngonyani(6), Enoc Moyo (6).

Chanzo: Mwananchi Digita
Labda wameogopa kumpa wakikumbuka mtoto wa Celina Kombani alivyokua akiongea 'Mashudu' Bungeni😆😆
 
Akiamua to cross, jimbo analichukua kwa ulaini kama ameliokota!, akitulia atapoozwa kwa u DC!.
Ila CCM, imewatosa top 4 na kumchagua mtu wa 5!.
P
Afu watu watarajie sisiemu itoke kirahisi kwenye nafasi ya urais?

Kama wao tu hawakubaliani na nguvu ya kura kutoka kwa wajumbe.

Leo kura za uchaguzi mkuu watazikubali?

Mtu asiseme habari za kuhongwa wajumbe.

Basi na uarais mahakama ziwe zinaamua mshindi. Maana kipindi cha kampeni hata kabla kuna vyama vinatoa rushwa.

Bila maahinikizo ya umma, hata tuwe na katiba gani wahuni watafanya yao.
 
Mama yenu anaroho ya kikatili sana kamchukia mama mpaka mtoto wakati yeye mama yenu kajaa tele na mtoto wake na mkwe wake na ndugu kibao ila kaona uyu yatima astahilli kitu ajifie uko na mama yake
Waache wajuane wenyewe.

Wanaperamiho kazi kwao.
 
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika leo Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.

Uchaguzi mdogo wa ubunge wa Peramiho utafanyika Alhamisi ya Februari 26, 2026 ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Jenista Mhagama ambaye alifariki dunia Desemba 11,2025, katika Hospitali ya Benjamin Mkaра kwa ugonjwa wa moyo.

Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dk Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.

Wengine na kura zao kwenye mabano ni Getrude Haule (2,913), Dk Joseph Mhagama (943), Frank Matola (215), Dk Lazaro Kiomba (213), Dk Damas Mapunda (200) na Isabellah Mwampamba (131).

Soma Pia: Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho

Wengine ni Joseph Masikitiko (126), Erasmo Mwingira (124), Allen Mhagama (114), Schoral Ngonyani (84), Lazaro Ndenji(68), Davis Ngonyani(62), Thea Ntara (57), Emil Ngaponda (51), Serafina Mkuwa (48), Clemence Mwinuka (35), Emelian Mbawala (24), Benjamin Kamtawa (23), Prosper Luambano (22), Dominic Mahundi(19), Fredrick Millinga (17), Sixmund Rungu (9), Rose Shawa (7), Rosemary Ngonyani(6), Enoc Moyo (6).

Chanzo: Mwananchi Digita
Imagine kura 3000 yaani ccm sisi ni mazwazwa
 
Hiki kimama kinaiendesha Tanganyika kwa rimoti kikiwa nchini kwao.

Hatua za haraka zivhukuliwe kitaiangamiza Tanganyika
Yaani anaua watu ili alinde kiti, cha ajabu anajificha zanzibar!! Sasa kuna raha gani ya kuogopa unaowaongoza? Hata kufanya ziara tu kunamshinda.

So weird
 
cocastic mlongo ametemwa,hata wekeend haijaisha😀
Huyu Bunungu kwao ni Mpitimbi, na alikua anachuanaga na jenister kila wakati wa uchaguzi.
Na ilisha semekana, km sio Victor basi ni Bunungu.

Maana km ilikua ni haki, ilibidi huyo Getrude ndo awe mbunge, si kashika nafasi ya 2.

Nweiiii tusubiri kuona nayeye analeta jipya gani.

Kwake amepajenga vizuri mno, na ni DC, tusubiri kuona akiwa MB mambo yatakua lele leleee Mpitimbi kwetu.
 
Mama yenu anaroho ya kikatili sana kamchukia mama mpaka mtoto wakati yeye mama yenu kajaa tele na mtoto wake na mkwe wake na ndugu kibao ila kaona uyu yatima astahilli kitu ajifie uko na mama yake
Mbaya sana huyu mzanzibari kafanya,Zungu si alimuahidi kwani kwenye kamati hakuwemo kutetea jambo hili na ukizingatia kura za maoni zimeonyesha njia?
 
Back
Top Bottom