Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Huna akili . Umejaa laana. Umekosa malezi ya wazazi wako na ndio maana unakosa adabuHiki kimama kinaiendesha Tanganyika kwa rimoti kikiwa nchini kwao.
Hatua za haraka zivhukuliwe kitaiangamiza Tanganyika
Akiamua to cross, jimbo analichukua kwa ulaini kama ameliokota!, akitulia atapoozwa kwa u DC!.Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika leo Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.
Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dk Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.
Hata wiki mbili hazikuisha tangu azike mama yake, tayari huyo kaangia kwenye heka heka za uchaguzi.Tamaa na njaa ni mbaya sana!, bora asingegombea tu.
Kweli wahenga walisema mtoto halali na pesa. Mwanasiasa anachoongea ukweli ni salamu tu, mengine usimuamini.Dah! Hakuna haki hapo aisee. Imagine aliyepata karibu kura 3000 anajisikiaje?
DC hana mafungu na job security ni ndogo kulinganisha na ubunge.Ndiyo hapo sasa. CCM ni wahuni sana. Hiki kikundi ni hatari kuliko watu wanavyofikiri.
Wamemuingiza chaka, "tumia tu pesa ya mama, ndani ya miezi 6 itarudi yote". Mtu kaenda kupukutisha akiba yote.
Ila watamkumbuka, si muda mrefu utasikia ni DC mahali fulani.
Labda wameogopa kumpa wakikumbuka mtoto wa Celina Kombani alivyokua akiongea 'Mashudu' Bungeni😆😆Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika leo Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.
Uchaguzi mdogo wa ubunge wa Peramiho utafanyika Alhamisi ya Februari 26, 2026 ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Jenista Mhagama ambaye alifariki dunia Desemba 11,2025, katika Hospitali ya Benjamin Mkaра kwa ugonjwa wa moyo.
Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dk Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.
Wengine na kura zao kwenye mabano ni Getrude Haule (2,913), Dk Joseph Mhagama (943), Frank Matola (215), Dk Lazaro Kiomba (213), Dk Damas Mapunda (200) na Isabellah Mwampamba (131).
Soma Pia: Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho
Wengine ni Joseph Masikitiko (126), Erasmo Mwingira (124), Allen Mhagama (114), Schoral Ngonyani (84), Lazaro Ndenji(68), Davis Ngonyani(62), Thea Ntara (57), Emil Ngaponda (51), Serafina Mkuwa (48), Clemence Mwinuka (35), Emelian Mbawala (24), Benjamin Kamtawa (23), Prosper Luambano (22), Dominic Mahundi(19), Fredrick Millinga (17), Sixmund Rungu (9), Rose Shawa (7), Rosemary Ngonyani(6), Enoc Moyo (6).
Chanzo: Mwananchi Digita
Afu watu watarajie sisiemu itoke kirahisi kwenye nafasi ya urais?Akiamua to cross, jimbo analichukua kwa ulaini kama ameliokota!, akitulia atapoozwa kwa u DC!.
Ila CCM, imewatosa top 4 na kumchagua mtu wa 5!.
P
Waache wajuane wenyewe.Mama yenu anaroho ya kikatili sana kamchukia mama mpaka mtoto wakati yeye mama yenu kajaa tele na mtoto wake na mkwe wake na ndugu kibao ila kaona uyu yatima astahilli kitu ajifie uko na mama yake
Lolote linatokea na aka excel zaidi.DC hana mafungu na job security ni ndogo kulinganisha na ubunge.
Imagine kura 3000 yaani ccm sisi ni mazwazwaKamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika leo Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar.
Uchaguzi mdogo wa ubunge wa Peramiho utafanyika Alhamisi ya Februari 26, 2026 ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Jenista Mhagama ambaye alifariki dunia Desemba 11,2025, katika Hospitali ya Benjamin Mkaра kwa ugonjwa wa moyo.
Katika kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika Januari 22, 2025, Dk Komba alishika nafasi ya tano kati ya watia nia 27 kwa kupata kura 213 kati ya 9,167 zilizopigwa huku Victor Mhagama, mtoto wa Jenista akiongoza kwa kupata kura 3,040.
Wengine na kura zao kwenye mabano ni Getrude Haule (2,913), Dk Joseph Mhagama (943), Frank Matola (215), Dk Lazaro Kiomba (213), Dk Damas Mapunda (200) na Isabellah Mwampamba (131).
Soma Pia: Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho
Wengine ni Joseph Masikitiko (126), Erasmo Mwingira (124), Allen Mhagama (114), Schoral Ngonyani (84), Lazaro Ndenji(68), Davis Ngonyani(62), Thea Ntara (57), Emil Ngaponda (51), Serafina Mkuwa (48), Clemence Mwinuka (35), Emelian Mbawala (24), Benjamin Kamtawa (23), Prosper Luambano (22), Dominic Mahundi(19), Fredrick Millinga (17), Sixmund Rungu (9), Rose Shawa (7), Rosemary Ngonyani(6), Enoc Moyo (6).
Chanzo: Mwananchi Digita
Yaani anaua watu ili alinde kiti, cha ajabu anajificha zanzibar!! Sasa kuna raha gani ya kuogopa unaowaongoza? Hata kufanya ziara tu kunamshinda.Hiki kimama kinaiendesha Tanganyika kwa rimoti kikiwa nchini kwao.
Hatua za haraka zivhukuliwe kitaiangamiza Tanganyika
Hata hivyo alijichanganya vibaya sana kugomboea, angetulia pembeni ili kuusoma mchezo kwanza.Kweli wahenga walisema mtoto halali na pesa. Mwanasiasa anachoongea ukweli ni salamu tu, mengine usimuamini.
Huyu Bunungu kwao ni Mpitimbi, na alikua anachuanaga na jenister kila wakati wa uchaguzi.cocastic mlongo ametemwa,hata wekeend haijaisha😀
Mmmmh hata hajamaliza, kwani huyo Bunungu hajatoa rushwaa? Mbona katoa sana tyuu.Sa itakuaje na mafao ya mama kamalizia kwenye kampeni 😂
Asipofanya ziara yeye kama yeye anapata HASARA gani?Yaani anaua watu ili alinde kiti, cha ajabu anajificha zanzibar!! Sasa kuna raha gani ya kuogopa unaowaongoza? Hata kufanya ziara tu kunamshinda.
So weird
Mbaya sana huyu mzanzibari kafanya,Zungu si alimuahidi kwani kwenye kamati hakuwemo kutetea jambo hili na ukizingatia kura za maoni zimeonyesha njia?Mama yenu anaroho ya kikatili sana kamchukia mama mpaka mtoto wakati yeye mama yenu kajaa tele na mtoto wake na mkwe wake na ndugu kibao ila kaona uyu yatima astahilli kitu ajifie uko na mama yake