PostGE2025 Peramiho: Mtoto wa Jenista atemwa, CCM yamteua DC Komba kugombea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Oooh kumbe ni WA kunyumbaπŸ™Œ
 
Hivi ni nini maana halisi ya kuendesha zoezi la Kura za Maoni? Na kama tayari zoezi hili limeshapoteza mantiki kwa nini bado linafanyika?

Karibuni Waungwana tujadili.
 
Hizo kura za maoni jimboni hazina maana tena kwa wenye chama chao.
Sidhani hata kama kuna kura huwa zinapigwa, itakuwa wanafanya uhuni tu kama ule wa uchaguzi mkuu wa kujiandikia kura wanazojisikia kuandika.
 
Mheshimiwa SAMIA hapa unatengeneza chuki ndani ya CCM wakuchukie ungemchukua number 2 au 3 lakiini mpka number 5 sio fair kabisa
 
Kwanini bi kiroboto amemtema namba 2? Huyu lazima atakuwa mkwe wa bi kiroboto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…