Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Ili kuonyesha uchu aliyonao dhidi ya wekundu wa msimbazi mshambuliaji muuaji wa mashetani wekundu wa Misri ameamua kuikacha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Ili kutunza nguvu za kuja kuwaadabisha wekundu wa msimbazi
Chanzo changu kilicho ndani ya timu ya Al Ahyl kimeninyetishia kuwa muuaji Percy Muzi Tau,alipoulizwa na wachezaji wenzake sababu ya kutokwenda kutoa huduma yake timu ya Taifa,alijibu bila ya kupepesa macho kuwa:
"I am keeping my energy for Simba,the friendlies that my country is going to play are of no huge significance for the time being compared to our African League...I will just lie that I have patients to attend to and get away with it...I am going exterminate those Simbas"
Hivyo ndo kauli ya mnyetishaji iliyotoka kinywani mwa muuaji huyu.
Ushauri:
Benchi la Simba,pamoja na kuchimbia madawa uwanjani wajitahidi kuziba za ukuta wao wa Yeriko
Mabeki waandaliwe kisaikolojia,na wajengwe kuustahimili chenga za maudhi na Kasi ya Percy Muzi Tau
Aliye na nguvu kuliko mwenzie ndo ashinde
#Mpira Bila Mbereko Inawezekana