Percy Muzi Tau awagomea Bafana Bafana kucheza mechi za kirafiki Ili kutunza nguvu za kuwaangamiza Simba tarehe 20/10/2023

Percy Muzi Tau awagomea Bafana Bafana kucheza mechi za kirafiki Ili kutunza nguvu za kuwaangamiza Simba tarehe 20/10/2023

Simba ni tishio barani Africa kiasi cha kuwafanya Al ahly kuzuia wachezaji wao muhimu kutumikia timu zao za Taifa. Hivi unadhani kile kipigo walichopata horoya cha 7-0 wao hawaku kiona ? .. Simba inaogopeka sana Africa ndo maana timu kubwa kama Al ahly inachukua tahadhari mapema sana, nina uhakika mechi yao na Utopolo watapanga hata kikosi cha tatu na wataondoka na ushindi mnono dhidi ya vilaza hao wa Jangwani.
Hata zile tatu tatu mlizofungwa na Raja pia wameziona.
 
Ili kuonyesha uchu aliyonao dhidi ya wekundu wa msimbazi mshambuliaji muuaji wa mashetani wekundu wa Misri ameamua kuikacha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Ili kutunza nguvu za kuja kuwaadabisha wekundu wa msimbazi

Hii mechi haiihusu Yanga 😁
 
Ili kuonyesha uchu aliyonao dhidi ya wekundu wa msimbazi mshambuliaji muuaji wa mashetani wekundu wa Misri ameamua kuikacha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Ili kutunza nguvu za kuja kuwaadabisha wekundu wa msimbazi

Chanzo changu kilicho ndani ya timu ya Al Ahyl kimeninyetishia kuwa muuaji Percy Muzi Tau,alipoulizwa na wachezaji wenzake sababu ya kutokwenda kutoa huduma yake timu ya Taifa,alijibu bila ya kupepesa macho kuwa:

"I am keeping my energy for Simba,the friendlies that my country is going to play are of no huge significance for the time being compared to our African League...I will just lie that I have patients to attend to and get away with it...I am going exterminate those Simbas"

Hivyo ndo kauli ya mnyetishaji iliyotoka kinywani mwa muuaji huyu.

Ushauri:
Benchi la Simba,pamoja na kuchimbia madawa uwanjani wajitahidi kuziba za ukuta wao wa Yeriko
View attachment 2778006View attachment 2778007

Mabeki waandaliwe kisaikolojia,na wajengwe kuustahimili chenga za maudhi na Kasi ya Percy Muzi Tau

Aliye na nguvu kuliko mwenzie ndo ashinde

#Mpira Bila Mbereko Inawezekana
yaani wewe una chanzo chako al ahly?
 
We mwalimu wa shule ya msingi hapo Tanganyika, unafanya kazi muda gani? Muda wote unaanzisha viuzi uchwara.
 
Hii mechi haiihusu Yanga 😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Al Ahyl walinidm kuwa niwatafute masahabiki wa Al Ahyl wanaokaa bongo,

Wamenipa mpinga mrefu na jerseys za kuvaa siku hiyo

Hivyo inatuhusu
 
Mkuu nasikia hata na hizi waliziona
Screenshot_20231010-212921~2.png

Na hata baada ya draw ya makundi kuchezwa walipitia pitia historia ya wapinzani wao wakaziona zile 5 mlizofungwa na simba
 
Ahly wana huruma sana kama mpaka dk ya 40 washakupiga 5 hivi wangesema wa kaze si ulikua msiba wa goli 10 na kuendelea.
Al Ahyl walikuwa na huruma sana,

Ila nasikia Kwa sasa wamesema mambo ya huruma hawana tena

Sasa ni kipigo mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom