Percy Muzi Tau awagomea Bafana Bafana kucheza mechi za kirafiki Ili kutunza nguvu za kuwaangamiza Simba tarehe 20/10/2023

Hata zile tatu tatu mlizofungwa na Raja pia wameziona.
 
Ili kuonyesha uchu aliyonao dhidi ya wekundu wa msimbazi mshambuliaji muuaji wa mashetani wekundu wa Misri ameamua kuikacha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Ili kutunza nguvu za kuja kuwaadabisha wekundu wa msimbazi

Hii mechi haiihusu Yanga 😁
 
yaani wewe una chanzo chako al ahly?
 
We mwalimu wa shule ya msingi hapo Tanganyika, unafanya kazi muda gani? Muda wote unaanzisha viuzi uchwara.
 
Hii mechi haiihusu Yanga 😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Al Ahyl walinidm kuwa niwatafute masahabiki wa Al Ahyl wanaokaa bongo,

Wamenipa mpinga mrefu na jerseys za kuvaa siku hiyo

Hivyo inatuhusu
 
Mkuu nasikia hata na hizi waliziona
Na hata baada ya draw ya makundi kuchezwa walipitia pitia historia ya wapinzani wao wakaziona zile 5 mlizofungwa na simba
 
Ahly wana huruma sana kama mpaka dk ya 40 washakupiga 5 hivi wangesema wa kaze si ulikua msiba wa goli 10 na kuendelea.
Al Ahyl walikuwa na huruma sana,

Ila nasikia Kwa sasa wamesema mambo ya huruma hawana tena

Sasa ni kipigo mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…