Tetesi: Percy Tau kutua Simba

Baada ya Try Again kukiri kushirikiana na Mo Dewji kumsajili mchezaji mkubwa kutoka klabu kubwa fununu zilizopo huyo mchezaji ni raia wa Afrika kusini anayekipiga Alhly ya Misri

Hongera Simba
View attachment 2686083
Uwezo wa simba kumsajili huyu mchezaji Percy Tau, hamna. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Kwanza msimu uliopita, alikuwa ni mchezaji tegemeo. Hivyo msijifariji na kulishana matango pori.
 
Percy Tau hawezi kuja Tanzania hapa sizungumzii Simba Bali timu yoyote ya Tanzania, kwa mshahara anaolipwa.
Mnawakuza tu Ila muarabu halipi ngoz nyeus pesa za maana

Acheni kumkuza Sana kwanza wachezaji wengi wa kiafrica hawana furaha kuzichezea vilabu vya waarabu angalabu achezee kwa weusi of whch wengi huwa na amani
 
Ni Khama Biliant kutoka Kaizer Chief, mpaka Sasa Kaizer hawajui alipo na akipigiwa simu hapokei! Penyenye zinasema ananukia msimbazi!
Khama Billiat umri umemtupa! Lakini pia ni spana mkononi! Hivyo timu yoyote itakayomsajili, itakuwa imelamba garasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…