PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Hata ngoma ni majeruhi, Moses phiri alisajiliwa akiwa majeruhi au umesahau??Majeruhi huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ngoma ni majeruhi, Moses phiri alisajiliwa akiwa majeruhi au umesahau??Majeruhi huyo
Ana 30 saiv, kwani chama ana ngapi? Boko je? , Ok kuhusu majeruhi hata Moses phiri alisajiliwa akiwa majeruhi au umesahau? Hata Fabric Ngoma ni spana mkononi! Ila ukitoa majeruhi Biliant ni bonge la mchezaji!Khama Billiat umri umemtupa! Lakini pia ni spana mkononi! Hivyo timu yoyote itakayomsajili, itakuwa imelamba garasa.
Ngoma kaishatangazwa?Hata ngoma ni majeruhi, Moses phiri alisajiliwa akiwa majeruhi au umesahau??
Ulihesabu wanazo hela kiasi gani au unaongozwa na hisia zako mfu?Huyo mchezaji hawezi kuja Simba na siyo Simba tu hawezi kucheza east and central Africa...hamna pesa ni mchezaji ghai Africa halafu mkamlaze Ramada hotel hahaaa
Simba wamemshindwa miquisone wa 95m/mwezi, ndiyo watamuweza perci Tau wa 400m/mwezi?Huyo mchezaji hawezi kuja Simba na siyo Simba tu hawezi kucheza east and central Africa...hamna pesa ni mchezaji ghai Africa halafu mkamlaze Ramada hotel hahaaa
Wanazo au Mo anazo!Ulihesabu wanazo hela kiasi gani au unaongozwa na hisia zako mfu?
Ndiyo maana ni ngumu sana huyo jamaa kuja kusajiliwa huku. Huku ni kwa kina Doumbia, Sawadogo, na Kibwana.Simba wamemshindwa miquisone wa 95m/mwezi, ndiyo watamuweza perci Tau wa 400m/mwezi?
Mo mwenyewe pesa yake inaelekea kukata, juzi tu kamlilia sawadogo akimuomba awe anamlipa kwa mafungu.
Ndio maana jukwaa limepoa mnoooooBanned
Wameshindwa kupata signature ya Miqquesone asiye na namba al ahly.Uwezo wa simba kumsajili huyu mchezaji Percy Tau, hamna. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Kwanza msimu uliopita, alikuwa ni mchezaji tegemeo. Hivyo msijifariji na kulishana matango pori.
Tajiri Kachoka kusapoti timu [emoji23][emoji23]Alipwe na nani wakati Mudi kakata tamaa
Sasa tau unajua analipwa Bei ganiMiqson analipwa Mil 50 sio hela ya maana?
Kwanza mkataba bdo mwaka 1 na timu zetu hatuna ubavu wakuvunja mikataba..burnely inamtaka alafu Simba itie mkono,hiyo ndotoFirst 11 ya mabingwa Africa una uwezo wa kumlipa ww kolo.
Market value yake ni sawa na kikosi kizima Cha Simba.
Bado mshahara wake
Miquisone tu anawashinda
Hawa viumbe ndiyo maana Rage aliamua tu kuwachana ukweli. Sijui ni kwa nini huwa wanapenda kuamini kila kitu wanachoambiwa au kusikia.Wameshindwa kupata signature ya Miqquesone asiye na namba al ahly.
Leo wamedanganywa wanaweza kumpata mchezaji tegemeo, Percy Tau.